shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,913
Kwa mwanza,tabia za wasukuma wa Magu,Kwimba,Misungwi na maeneo ya Maswa,tabia zao ziko tofauti sana na wasukuma wa Geita,Sengerema na Chato. Kwa Shinyanga msukuma wa Bariadi na upande wa Maswa tabia zao ni tofauti na msukuma wa Shinyanga na Meatu,upande wa Kahama na Bukombe tofauti ni kubwa sana,ukitaja msukuma weka na ukande wake ili wadau wakuchambulie vzr.