Wasukuma mambo mengine muwe mnauliza

Wasukuma mambo mengine muwe mnauliza

Wataturu vipi?

Hapo kweli, ila kwa makabila yaliyotajwa hapo wasukuma wanaongoza, wewe achana na wasukuma wa mjini hapa. Wewe nenda ukachukue wa huko vijijini kabisa kwa kila kabila lililo tajwa hapo halafu utaona. Msukuma lazima achukue namba
 
Mwambie yeye anafikiri waha washamba kuliko wasukuma, shule za bweni tulizosoma ndo kipimo hapo utakutana na makabila kibao ndo unaweza chuja mshamba nani

Mi basi nilifikiri waha maana kati ya kabila zilizokaa nazo hao ndo wametia fola.
Shule niliyosoma mimi Waha na Wakerewe ndio waliokuwa vituko kuliko hata wenyeji wasukuma!
 
Wanaanza Wamaasai halafu wanafuata Wasukuma...

Kama umesoma shule za bweni unaweza kuwa na idea namna hawa ndugu zetu walivyo nyuma ya wakati...

Msukuma wa wapi unayemzungumzia?
 
Hapo kweli, ila kwa makabila yaliyotajwa hapo wasukuma wanaongoza, wewe achana na wasukuma wa mjini hapa. Wewe nenda ukachukue wa huko vijijini kabisa kwa kila kabila lililo tajwa hapo halafu utaona. Msukuma lazima achukue namba

Wasukuma kweli wamezubaa na ni waoga ila bhana mie kura yangu inaenda kwa Waha.
 
Mwambie yeye anafikiri waha washamba kuliko wasukuma, shule za bweni tulizosoma ndo kipimo hapo utakutana na makabila kibao ndo unaweza chuja mshamba nani

Waha hawajui kutunza wake zao yaan yee ataishi na mkewe miaka yote mkewe anavaa nguo mpya wala haulizii,yaan wapo wapo tu,akiongea kiswahilii sasaaa yaan usipocheka huna figo weweee
 
Shinyanga,Mwanza,Simiyu na Geita,ww unamzungumzia msukuma wa mkoa gani?

Wakati nikisoma hakukuwa na mikoa ya Geita na Simiyu...

Hivyo tulikuwa na wanafunzi Wasukuma tokea Mwanza na Shinyanga na ndio hao ninaowalenga hapa...
 
Back
Top Bottom