Wasukuma acheni ulimbukeni kwenye mapenzi

Wasukuma acheni ulimbukeni kwenye mapenzi

Yaani hawa watu washamba sana kwenye mahusiano wanahonga sana na wakiwa kwenye ndoa anaendeshwa sana yaani mpaka aibu maana kuna mmoja nakaa nae hapa yaani ni balaa deki apige yeye, afue, aogeshe watoto limwanamke limekaa tu linabenjua mdomo na sio huyo wasukuma wengi kwenye mapenzi na ndani ya ndoa ni mazezeta sana.
sirudi kijijini.
Mimi sina hakika ngoja waje akina Rugelabamu na Koku.
 
Haaaaa,ila wasukuma wapo wengi tu,tatizo tukikutana huko vyuoni au makazini tunaitana kaka na dada,ndo maana inakuwa ngumu kutongozana.Binafsi nilipokuwa chuo wasukuma wanaume wote walikuwa kaka zangu.Tena wananisalimia kabisa ng'waguku wakati tumekutana chuo tu hata kazini hivyo hivyo wasukuma wote wanaume nawaita kaka na wao wananiita dada.Ng'waguku kwa kwenda mbele.
Ng'waguku bageshi !!!
 
Yani msukuma asili yake ni mshamba hata awe kasoma vipi au anahela, yaan wanaushamba wa asili inshrt ushamb ni jadi yao
 
Uzi umepoteza ladha, mimi nilitegemea wasukumua watokwe povu badala yake ndo kwaanza wanaandika kilugha chao na stori za ulenatuja bheebhe
 
Back
Top Bottom