Wasukuma acheni ulimbukeni kwenye mapenzi

Wasukuma acheni ulimbukeni kwenye mapenzi

Kusaidizana,yes ni mapenzi.Mbona wazungu wanaume wanaosha vyombo,kazi zote za ndani wanafanya.
Ivi nyinyi wanawake weusi mnapendeka, si ntayakuta kwa jirani, lile zoba mke amesema ameliweka kiganjani,... Aiseehh,.
Siwez kumpa mapenz hayo ngozi nyeusi, nyeupe anapewa bure kabisa, tena anakua queen ila ii nyeusi itasubir sanaaa,.. Yaya gete yaya lolo(in mkulu voice)
 
Nijuavyo mie wasukuma wanajua kupenda,mtu yeyote akipenda hatoona ajabu kutoa ama kufanya lolote kwa ajili ya mke wake,sasa wewe kama umeolewa na chagga au pale jipange kua mjasiliamali maana changu changu chako tafuta mwenyewe.natamani ningeolewa na msukuma mwenzangu

ah wapi penda yao ni wivuu tuuuu eish
 
Ivi nyinyi wanawake weusi mnapendeka, si ntayakuta kwa jirani, lile zoba mke amesema amekiweka kiganjani,... Aiseehh,.
Siwez kumpa mapenz hayo ngozi nyeusi, nyeupe anapewa bure kabisa, tena anakua queen ila ii nyeusi itasubir sanaaa,.. Yaya gete yaya lolo(in mkulu voice)
Aisee umenishangaza wa ng'wise.Jamani mapenzi mpe mke wako haijalishi mweusi ama mzungu.Upendo wa kweli haungalii rangi wala umbo.Unamdekeza mkeo yaani hadi adhanie yupo paradiso.
 
Natamani ningeolewa na msukuma,Wasukuma wanajua kupenda,sio hawa wahutu wa Burundi,usiombe uolewe na mhutu
Bageshi. Wanipinihaja bageshi. Wanyarwanda nasikia hata wanawake ukiwaoa ni matatizo. Wana uzalendo sana na watoto wake atahakikisha wana baba wa Kinyarwanda. Kwa hivyo hata ufanyeje utachapiwa tu tena wakati mwingine mpaka na mabinamu ali mradi tu mtoto atoke Mnyarwanda.

Shida mabinti wa Kisukuma nao kuwapata ni shida. Tena akiwa mweupe na mwenye msambwanda ndo kabisaa. Mi nakaribia uhenga lakini bado sijawahi kuwa na gf wa Kisukuma. Nyodo za kijinga tu!

Mabinti wa Kichaga, kwa upande mwingine, wao wako sharp. Akikuona una mwelekeo wa kimaisha aisee huchomoi. Nilikuwa nawacheka marafiki zangu kuwa wote wameishia kuoa Wachaga lakini hata mimi naona nitaishia huko huko tu. Chasaka sina ujanja kwa mabinti wa Kichaga kwa kweli. Badilikeni bageshi. Huu siyo wakati wa chagulaga tena au kuzungushana miezi na miezi. Mambo yameshabadilika !!!
 
Mkuu Molembe, huo sio ulimbukeni, ndio kupenda kwenyewe huko, na haswa huyo mwanamke kama ni cheupe, tuko tayari kufanya chochote in the name of love, tukipenda, tumependa, hata mimi, kwa wanaonijua in reality, nilikuwaga na benzi, nimehonga, sasa natembelea bajaji, nilikuwa na nyumba tena ghorofa Mbezi Beach, nimehonga kwa cheupe fulani, sasa naishi kwa Mtogole na sijutii, hadi leo hadi kesho, sijilaumu!. Ndio zetu.
P

lakini mna mawivu ya kupindukia mkuu!akuu sema uikitaka kuoa mke oa MSUKUMA
 
Yaani hawa watu washamba sana kwenye mahusiano wanahonga sana na wakiwa kwenye ndoa anaendeshwa sana yaani mpaka aibu maana kuna mmoja nakaa nae hapa yaani ni balaa deki apige yeye, afue, aogeshe watoto limwanamke limekaa tu linabenjua mdomo na sio huyo wasukuma wengi kwenye mapenzi na ndani ya ndoa ni mazezeta sana.
sirudi kijijini.
Haya haraka nahitaji mwanaume wa kisukuma kama jamaaa! Mara paaaaaap nahene mayo
 
WASUKUMA wamegeuka talk of the town siku hizi.
Mwisho wa siku kila mtu anapambana na hali yake
 
Yaani hawa watu washamba sana kwenye mahusiano wanahonga sana na wakiwa kwenye ndoa anaendeshwa sana yaani mpaka aibu maana kuna mmoja nakaa nae hapa yaani ni balaa deki apige yeye, afue, aogeshe watoto limwanamke limekaa tu linabenjua mdomo na sio huyo wasukuma wengi kwenye mapenzi na ndani ya ndoa ni mazezeta sana.
sirudi kijijini.
Uwe na adabu, Tafadhali hiyo ni caring
 
Bageshi. Wanipinihaja bageshi. Wanyarwanda nasikia hata wanawake ukiwaoa ni matatizo. Wana uzalendo sana na watoto wake atahakikisha wana baba wa Kinyarwanda. Kwa hivyo hata ufanyeje utachapiwa tu tena wakati mwingine mpaka na mabinamu ali mradi tu mtoto atoke Mnyarwanda.

Shida mabinti wa Kisukuma nao kuwapata ni shida. Tena akiwa mweupe na mwenye msambwanda ndo kabisaa. Mi nakaribia uhenga lakini bado sijawahi kuwa na gf wa Kisukuma. Nyodo za kijinga tu!

Mabinti wa Kichaga, kwa upande mwingine, wao wako sharp. Akikuona una mwelekeo wa kimaisha aisee huchomoi. Nilikuwa nawacheka marafiki zangu kuwa wote wameishia kuoa Wachaga lakini hata mimi naona nitaishia huko huko tu. Chasaka sina ujanja kwa mabinti wa Kichaga kwa kweli. Badilikeni bageshi. Huu siyo wakati wa chagulaga tena au kuzungushana miezi na miezi. Mambo yameshabadilika !!!
Haaaaa,ila wasukuma wapo wengi tu,tatizo tukikutana huko vyuoni au makazini tunaitana kaka na dada,ndo maana inakuwa ngumu kutongozana.Binafsi nilipokuwa chuo wasukuma wanaume wote walikuwa kaka zangu.Tena wananisalimia kabisa ng'waguku wakati tumekutana chuo tu hata kazini hivyo hivyo wasukuma wote wanaume nawaita kaka na wao wananiita dada.Ng'waguku kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom