Wastegate yalipuka ?

Wastegate yalipuka ?

Wamarekani hawajapeleka askari wap. Sana sana wamepeleka washauri tu.

heh!! nilifikiri wamewapelekea askari wa kuwasaidia.............
anyway siyapendi kabisa haya yanayoendelea huko and i feel quite sorry for the victims and all kenyans as well.
 
Ongeza katika list LRA, Northern Ireland, ETA, Ku Klux Klan nk
 
Here is one of them......BTW the Mall is partially "owned" by Israelites

article-2429644-1824AB6D00000578-898_634x448.jpg

Hiyo picha ni ya tokea juzi Jumamosi. Halafu hicho kipisto ndo kitasaidia nini sasa? Halafu huyo ni mtu wa wapi, Israel au Marekani? Unamjua wewe?
 
On June 30, Kagame repeated that hewould not respond to those who advised him to negotiate with the FDLR, but alsowarned that in the right place and when the right time came "I will hitthem" for "there are lines one cannot cross". tujiandae na M23 WA KAGAME
 
On June 30, Kagame repeated that hewould not respond to those who advised him to negotiate with the FDLR, but alsowarned that in the right place and when the right time came "I will hitthem" for "there are lines one cannot cross".
 
Wakatimwingine muwe na akili, nini chanzo chanzo cha huo Moshi mkubwa?

Sasa hiv, Sky news na aljazeera wanafanya live coverage acha ujinga wewe....
Nimetafuta kavu la kukupa ila nakupotezea,picha aliyoweka mleta mada umeiona au umeamua kushoboka
 
live from KBC mida hii hawa jamaa wamelipua wenyewe. Sa sielewi ni wamejchoka ama walkuwa wanafanya nin.

Mwisho wa siku ilikuwa wafanye hivyo......coz walikuwa watokeje.........hilo nililifikiria na ndivyo ilivyokuwa......sasa sijui ili iweje........masikini waKenya waliopo ndani.......Mungu awapokee.......
 
On June 30, Kagame repeated that hewould not respond to those who advised him to negotiate with the FDLR, but alsowarned that in the right place and when the right time came "I will hitthem" for "there are lines one cannot cross". tujiandae na M23 WA KAGAME

Mkuu.....hii inaingiaje hapa.......?
 
Hiyo picha ni ya tokea juzi Jumamosi. Halafu hicho kipisto ndo kitasaidia nini sasa? Halafu huyo ni mtu wa wapi, Israel au Marekani? Unamjua wewe?

Sina utaalam wa silaha, lakini sikupendezwa na silaha hizi 'nyepesi' walizoonekana wamebeba wanausalama. Baadhi ya victim wamesema wameona mpaka 'vilipuzi', nyie mnaendaje na pistol? Hivi maximum rounds zake ni ngapi? Huchelewi kuta ni risasi 12!
 
Wanajamvi,

Hivi sasa wastagate imelipuka na kutoa moshi mkubwa
Jambo lililostua watazamaji na police walioko nje kupokea maelekezo na kukimbia kwenye maeneo yanayozunguka

Police na magari yakifanya operation kubwa.

Watangazaji wamesema tutazame hawawezi toa maelezo ya kulikoni wanasubiria mamlaka husika itoe taarifa ya mlipuko huo mkubwa.

magari ya kuzima moto na police wanatamka pishapisha

citzen tv live from wastgate

Hii ngoma bado mbichi!
 
According to SKY News hii kasheshe inaweza kuchukua muda sana sababu kutokana na taarifa walizonazo ambazo wanaangaika kuzidhibitisha ni kuwa: Hawa jamaa wamegawanyika makundi humo ndani kwenye kujificha kwao na kundi moja liko Bank kwenye chumba ambacho ni bulletproof na hapo ndipo patakapowatoa jasho askari wa Kenya.
 
Nimetafuta kavu la kukupa ila nakupotezea,picha aliyoweka mleta mada umeiona au umeamua kushoboka

Wewe --------, mimi nafuatilia ahapa sky news wameandika major explosion wewe unabisha kama sio kichaa nini?
 
Mwisho wa siku ilikuwa wafanye hivyo......coz walikuwa watokeje.........hilo nililifikiria na ndivyo ilivyokuwa......sasa sijui ili iweje........masikini waKenya waliopo ndani.......Mungu awapokee.......

Kwa muda waliokaa, watakuwa wameshatubu kwa Mungu wao na kama wakipatwa na mauti wataelekea kwa Mja wao!
 
Back
Top Bottom