Wastegate yalipuka ?

Wastegate yalipuka ?

Upendo ungekuwapo mauaji ya waparestina waislam, mauaji ya kinyama kule Miamari, mauaji yasio na mfano yaliofanywa na Marekani kule Iraq, pakistani, Afghanistani, Libya n.k yasingetokea. Sema upendo wetu tunautangaza wanapouliwa wasiokuwa waislamu ila wakifa kinyama waislamu basi Upendo hautangazwi.

Ongelea watz wanaoshinda njaa kwa kukosa mli mmoja, wanaokufakwa kukosa huduma ya afya, mateja waliopoteza thamani ya utu wao, ombaomba waliopoteza matumaini kwanza ndipo uwakumbuke wapalestina na wengine. Usijifanye muungwana kumbe mbaguzi wa kidini. Kumbuka wanadamu wote huishia kwenye kifo na baada ya hapo hakuna ajuaye kinachoendelea bali ni imani zetu ndizo zinazotuongoza. Fahamu kuwa hakuna mtu awaye yote anayeweza kukuhakikishia juu ya kitu imani. Imani ni jinsi akili yako, utashi na fikra inavyokuongoza. Kamwe usithubutu kumlazimis mtu kuamini kile unachoamini kwa kuwa hatufanani kifikra. Kuna wengine kama wewe fikra zao ni ndani ya box na wengine huenda nje ya box pia
 
Upendo ungekuwapo mauaji ya waparestina waislam, mauaji ya kinyama kule Miamari, mauaji yasio na mfano yaliofanywa na Marekani kule Iraq, pakistani, Afghanistani, Libya n.k yasingetokea. Sema upendo wetu tunautangaza wanapouliwa wasiokuwa waislamu ila wakifa kinyama waislamu basi Upendo hautangazwi.

.........Ndo ubaya wa kukimbia shule, yaani mawazo yako yanakaa Ki-ponda ponda tu.
 
Halijalipuka bana milio ya risasi na moshi mzito tu,makomamdo wa waisrael wamekiri kuwa hawa jamaa wanambinu nzito za kikomandoo na wamegundua pia kuwa wapo wamarekani na waengereza ndani ya kundi hili ambao inasemekana wana mafunzo kamili ya ukomandoo
 
Back
Top Bottom