Wastegate yalipuka ?

Wastegate yalipuka ?

Al-shabaab
 

Attachments

  • 1379955553076.jpg
    1379955553076.jpg
    32.6 KB · Views: 309
Kweli upendo ungalikuwepo hali hii isingalikuwepo

Upendo ungekuwapo mauaji ya waparestina waislam, mauaji ya kinyama kule Miamari, mauaji yasio na mfano yaliofanywa na Marekani kule Iraq, pakistani, Afghanistani, Libya n.k yasingetokea. Sema upendo wetu tunautangaza wanapouliwa wasiokuwa waislamu ila wakifa kinyama waislamu basi Upendo hautangazwi.
 
Siku tatu yaani masaa 72 bado wanapambana...Poleni :- Al-Shabab walifikaje hapo katikati ya Nairobi na Kenya in general maana wameacha mipaka na miji yote na kutinga NBR. itakuwaje Kenya ilidharau ONYO la shabab...? Nasikia CIA FBI na ISRAEL agents wameingia katika uwanja wa mapambano security forces zinashindwa nini na vijana 9 au 10 ...! Halafu tatizo ni mchana kweupe wanashindwa nini ?
Hiyo ni kawaida, ukiwa nje ya uwanja Magoli yanakuwa mengi. Ingia uone kimbembe chake. Tuwape moyo hao Askari waokoe wenzao badala ya kudhani sisi ndo tunaweza na wao hapana
 
Sio kukatwa vichwa, ni kukatwa viungo kila baada ya siku moja mpaka umauti uwafikie
Kiswahili kazi kweli kweli. Unamaanisha watekaji au mateka? Maana mateka ni watu waliotekwa. Hebu some kwa vizuri
 
Baada ya hapa waKenya wakurupuke tena waende KISMAYO na Magadisho wakachafue hewa halafu warudi nyumbani waitishe mkutano wawajuze Mabwana kuwa Mission Accomplish !! Very Good.... Baada ya mwaka watoto wepya watazaliwa na kuuliza nani kauua baba zetu wataambiwa jirani zetu wakenya !! Alaaaa watoto watajikusanya waulaya wa majuu na wengine wafunge safari na Mambo yanajirudia miaka nenda hawa watu hulipana visasi VISASI VISASI haviishi !! haya Hapa yawe funzo kwa wengine.... Media inatutangazia kinamna wote tunapata huruma na majonzi na huzuni...... upande mmoja !! Lakini Media hiyohiyo hawaonyeshi walakutangaza Uvamizi na Mauaji ya upande wa pili yaliyofanywa huko Somalia. very Sad kuona damu moja cheap na Blood ingine expensive !! God Forebide and give us respect to human Dignities ,..AMINa
 
wakome kuwa viherehere kuingilia mambo yasiyiwahusu

Unahakika wamengilia mambo yasiyowahusu? Usalama wa taifa lao ulikuwa mashakani. Walikuwa wanateka watalii na meli zilizokuwa zinapita pembe ya afrika. Nchi yeyote ingefanya hivyo. Pili wapo huko kwa baraka za AU km Tz ilivyo Darfur na Drc.
 
Sa kwanini wasipambane na Wanajeshi wanaua wananchi?

Vita havina macho mkuu! Kenya wapo vitani na Alshbaab hilo tusilisahau. Hao raia wangepaza sauti zao kupinga jeshi lao lisiende Somalia nadhani hayo yasinge wakuta. Lakini ndio hivyo tena mtenda akitendewa hujihisi kaonewa. Wakenya lieni kimyakimya,mlionywa mkapuuza.
 
Tena ni msiba mzito ndugu yangu. Hapa mpaka waislamu wanachanyikiwa. Sasa unaposema watu wakatwe kichwa ili upate faida gani?

nashindwa kumuelewa uyo mjinga alikuwa anamaanisha nn? yaani watu wapo kwenye majonzi makubwa namna hiyo yeye anaongea nn!
 
Vita havina macho mkuu! Kenya wapo vitani na Alshbaab hilo tusilisahau. Hao raia wangepaza sauti zao kupinga jeshi lao lisiende Somalia nadhani hayo yasinge wakuta. Lakini ndio hivyo tena mtenda akitendewa hujihisi kaonewa. Wakenya lieni kimyakimya,mlionywa mkapuuza.

Sasa mbona wewe hukulia uliposikia Majeshi ya Tz yanaenda Darfur na Congo,acha ubwege.
 
Hongereni alshaabab hata sisi waislam watz tunaonewa Sheikh wetu ponda amefungwa tunaomba msaada wenu njooni nahuku pia

Taahira kama wewe unastahili kuonewa.Hao mabwana zako Al Shabaab wathubutu waone,tutawafyeka wote
 
Sio kukatwa vichwa, ni kukatwa viungo kila baada ya siku moja mpaka umauti uwafikie

.......Mafundisho hayo hupatikana katika dini za kishetani pekee. Mungu awasamehe sana kwa sababu mmerithi imani kutoka kwa 'watangulizi' wenu bila ya kujua.
 
Back
Top Bottom