Tetesi: Wastara kuolewa baada ya Ramadhani, huwezi kuamini nani anamuoa

Mtoa mada huwa nafurahia kuusoma mwandiko wako. ......

Naona Lemutuz umempumzisha kwa muda......
 
Mbongo movie anayewakilisha vyema kwenye sanaa na mahusiano na anayemalizia kuandika kitabu chake kipya kinachoitwa AINA ZA WANAUME NA TABIA ZAO huenda akaolewa tena mwishoni mwa ramadhani lakini wakati huu mhusika akiwa ni mbunge wa UKAWA anayewakilisha moja ya majimbo ya kaskazini.

Habari kutoka ndani ya nyumba ya Wastara zinadai staa huyo amefikia hatua hiyo baada ya kushindwa kuvumilia kuwa singo,na hivyo kutulia kwa bingwa huyo wa maandamano.

Wastara ambaye amethibitisha kuchoshwa kabisa na CCM ambayo ameitumikia kwa miaka yote ya ujana wake ambapo ilimlipa kwa kumuwekea X nyumba zake mbili ambapo pia waliendelea zaidi kumtesa hata kwenye suala la mapenzi kupitia kada wake ndugu Sadifu.

Wastara anakuwa kada mwingine kutoka CCM ambaye atalazimika kutamka hadharani kuwa CCM siyo mama yake wala baba yake pindi atakapovishwa pete siku ya harusi hiyo.

Yana ukweli.na mm namjua anayemuoa lkn csemi ng'o
 
Yule gwiji wa ccm na kada aliye na uzoefu wa kufunga ndoa atanyakuliwa toka kwenye mateso aliyosababishiwa na kada mwenzie
 
Anafuata hela tu huyo,akizikosa atalianzisha tu,ujenge kwenye mto uachiwe tu kisa wewe msanii?
 
Mbongo movie anayewakilisha vyema kwenye sanaa na mahusiano na anayemalizia kuandika kitabu chake kipya kinachoitwa AINA ZA WANAUME NA TABIA ZAO huenda akaolewa tena mwishoni mwa ramadhani lakini wakati huu mhusika akiwa ni mbunge wa UKAWA anayewakilisha moja ya majimbo ya kaskazini.

Habari kutoka ndani ya nyumba ya Wastara zinadai staa huyo amefikia hatua hiyo baada ya kushindwa kuvumilia kuwa singo,na hivyo kutulia kwa bingwa huyo wa maandamano.

Wastara ambaye amethibitisha kuchoshwa kabisa na CCM ambayo ameitumikia kwa miaka yote ya ujana wake ambapo ilimlipa kwa kumuwekea X nyumba zake mbili ambapo pia waliendelea zaidi kumtesa hata kwenye suala la mapenzi kupitia kada wake ndugu Sadifu.

Wastara anakuwa kada mwingine kutoka CCM ambaye atalazimika kutamka hadharani kuwa CCM siyo mama yake wala baba yake pindi atakapovishwa pete siku ya harusi hiyo.

Hahahaaaaaa yan umenichekesha
 
Back
Top Bottom