Urefu una phobia yake...kuna wanaotaka kua warefu zaidi ya urefu zao halisi,ndio maana hata NBA wanatudanganya...
mfano Dwayne Wade wanasema ni 6'4" wakati kiukweli ni kama 6'0" tu....
lakini kwa Kevin Garnet wanasema ni 6'11" wakati ni actually 7'0",anapenda kua appear shorter on paper ila in really value ni mrefu zaidi....
Hii phobia ipo sana,jikubali na urefu wako halisi
Sudan kote hakuna tribe linaloitwa Dinga. Soma au jaribu kupeleleza utaona hauko sahihi.
Kwani 1foot ni sawa na inches ngapi? (6'11" siyo sawa na 7'0"?).
Sudan kote hakuna tribe linaloitwa Dinga. Soma au jaribu kupeleleza utaona hauko sahihi.
5.9 inch ni urefu wako au urefu wa dushe mkuu??
Endelea tu kujaribu bahati yako,yupo atakayekuchukulia poa. wafupi hawakosi wanawake, height sio kigezo pekee cha kukubaliwa na wadada. nachokiona kwa baadhi ya wanaume wafupi ni kutokujiamini,hayo ya kwenda kupima urefu wako yanakupeleka huko....uko ulivyo na wa kukupenda lazima akubaliane na hilo. Jipange tu uwe mwanaume ambaye mwanamke atatizama zaidi ya urefu wako na kukupenda kwa mengi zaidi makubwa na mazuri zaidi ya urefu wako. By the way height hailipi bills unless unataka u-model,sijaona mume akileta chakula nyumbani kwa urefu wake, akisomesha kwa urefu wake au hata kumpenda mwanamke vizuri kwa kutumia urefu wake.
hakuna mtu mfupi duniani kwani watu wote wanapopima vimo vyao hupima urefu, hawapimi ufupi.
kuna wanaokuona wewe ni tall mkuu kwa kimo chako hicho.
Mimi niliwahi kusoma urefu wa msichana ni 155cm na kuendelea, wakati mwanaume ni 166cm na kuendelea.
Sudan kote hakuna tribe linaloitwa Dinga. Soma au jaribu kupeleleza utaona hauko sahihi.