Wastani wa urefu wa binadamu ni futi ngapi?

Wastani wa urefu wa binadamu ni futi ngapi?

Short stature refers to a height of a human being which is below typical. Whether a person is considered short depends on the context. Because of the lack of preciseness, there is often disagreement about the degree of shortness that should be called short.

In a medical context, short stature is typically defined as an adult height that is more than 2 standard deviations below the mean for age and gender, which corresponds to the shortest 2.3% of individuals.[1] In developed countries, this typically includes adult men who are shorter than 163 centimetres (5 ft 4 in) tall and adult women who are shorter than 150 centimetres (4 ft 11 in) tall. Again though, when shortness is called "short" is debatable, others would say 170 centimetres (5 ft 7 in) and 157 centimetres (5 ft 2 in) for men and women respectively due to those heights being 1 standard deviation below the average for each of their genders, while others would say 155 centimetres (5 ft 1 in) for men and 143 centimetres (4 ft 8 in) for women since both heights are 3 standard deviations below the average for their respective gender


Nimekuwa nikiitwa mfupi kwa muda mrefu sana,mara nyingi siamini kama ni mfupi kiasi cha kushindwa kuwa katika average heigh ambayo msichana anaweza kunichukulia poa,nikaamua kwenda kupima urefu wangu,jamaa aliyenipima aliniambia nna 5.69 inch,nataka kujua kiwango cha urefu ambacho kinajulikana kuwa wafupi ni wale chini ya kipimo hiki,wanasema urefu wa mtu utegemeana na umesimama na nani,me natamani kufahamu kama kwa height ni mfupi sana or average.
 
Hv wew ni mtu kweli,

kama ni mtu basi ni mfupi sana tena sana itabidi upelekwe kwenye maonyesho ya nanenane uingize hela
 
Nimekuwa nikiitwa
mfupi kwa muda mrefu sana,mara nyingi siamini kama ni mfupi kiasi cha
kushindwa kuwa katika average heigh ambayo msichana anaweza kunichukulia
poa,nikaamua kwenda kupima urefu wangu,

Jamaa aliyenipima aliniambia nna 5.69 inch,nataka kujua kiwango cha
urefu ambacho kinajulikana kuwa wafupi ni wale chini ya kipimo
hiki,wanasema urefu wa mtu utegemeana na umesimama na nani,

Me natamani kufahamu kama kwa height ni mfupi sana or average.

take note: tafta pesa ndo utajua wew ni mfupi kias gan.

binafsi spendi mme awe mfupi ila huu ndo ukweli

kwa wenzangu na mm ambao washawai kuona bank A/c ambazo zina pesa ndefuuuu watu wafupi wanaongoza

akija kupata huduma benki wew mfate nje uone mgari anaouendesha duh

magari yao ya kiwango cha chini ni TOYOTA LANDCRUSER LX NEW MODEL 2012.

ogopa hawa watu wafupi , niwafupi ila status bank A/c zao ndefu kama barabara.
 
Labda alimaanisha kabila la Dinka.

Dinka are sometimes noted for their height. With the Tutsi of Rwanda, they are believed to be the tallest people in Africa.[3] Roberts and Bainbridge reported the average height of 182.6 cm (5 ft 11.9 in) in a sample of 52 Dinka Ageir and 181.3 cm (5 ft 11.4 in) in 227 Dinka Ruweng measured in 1953–1954



Nilijuwa alikuwa anamaanisha hivyo na ndiyo maana nikamwambia niliyosema.
 
Mi nadhani kwa mwanaume ni kuanzia 6.0feet,mwanamke labda 5feet 6inches hivi....

Kwa nchi kama Netherlands 6.0 feet ni mfupi....kwa Dinga tribe of South Sudan 6feet6" ni average kabisa....

Aliyeuliza nina imani kuwa ni mtanzania, sasa uholanzi na South Sudan inatoka wapi? Hao wa South Sudan ni warefu ila wengi miguu yao ni magongo btw!
 
Kwa urefu huo huna haja ya kujiuliza Mara mbili mbili wewe ni mfupi tena sana maana 5.69 inch ni sawa na nusu ruler. (14.45 centimetres) JE ni mtu gani wa kawaida mwenye urefu huo? Maana average height ni 160 centimetres check difference hiyo ndio ujue wewe ni mfupi tena sana

Wewe unaweza ukawa mmoja wa vilaza hapa duniani.
 
Kibongo bongo nadhani tolu ni kuanzia futi 6 na andunje ni chini ya futi 5'7, wale wa 5'8, 5'9, 5'10 na 5'11 sio wafupi wala sio warefu!!
 
Duniani kuna mfupi na mrefu tu ila hakuna mnene wala mwembamba mkuu!

hahhahaha.....huyo wa kwenye avatar yangu anaweza kuwa bonge kwa mwingine. urefu au ufupi, unene au wembamba ni relative
 
Aliyeuliza nina imani kuwa ni mtanzania, sasa uholanzi na South Sudan inatoka wapi? Hao wa South Sudan ni warefu ila wengi miguu yao ni magongo btw!

Kwahiyo unataka kuniambia urefu wa mtu ni explicitly related na Geographical boundaries?Acha kukariri
 
Ndugu,

Kama kuna anayefahamu dawa ya kuwa mrefu na kunenepa aniambie unafanyaje.

Kwani nakula vizuri na kufanya mazoezi mwaka wa 5 sasa sinenepi wala kurefuka, nipo pale pale.

 
Nimekuwa nikiitwa mfupi kwa muda mrefu sana, mara nyingi siamini kama ni mfupi kiasi cha kushindwa kuwa katika average height ambayo msichana anaweza kunichukulia poa, nikaamua kwenda kupima urefu wangu.

Jamaa aliyenipima aliniambia nna 5.69 inch, nataka kujua kiwango cha urefu ambacho kinajulikana kuwa wafupi ni wale chini ya kipimo hiki, wanasema urefu wa mtu utegemeana na umesimama na nani.

Me natamani kufahamu kama kwa height ni mfupi sana or average.
Kweli kila mtu ana lake!
Mkuu ulifikia wapi kwenye hili? Kimo kimeongezeka!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom