Wastani wa urefu wa binadamu ni futi ngapi?

Wastani wa urefu wa binadamu ni futi ngapi?

big result now

Senior Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
107
Reaction score
70
Nimekuwa nikiitwa mfupi kwa muda mrefu sana, mara nyingi siamini kama ni mfupi kiasi cha kushindwa kuwa katika average height ambayo msichana anaweza kunichukulia poa, nikaamua kwenda kupima urefu wangu.

Jamaa aliyenipima aliniambia nna 5.69 inch, nataka kujua kiwango cha urefu ambacho kinajulikana kuwa wafupi ni wale chini ya kipimo hiki, wanasema urefu wa mtu utegemeana na umesimama na nani.

Me natamani kufahamu kama kwa height ni mfupi sana or average.
 
Hakuna kiswahili cha urefu inch ngapi mtu anaweza kuitwa mfupi. nyie ndo wale wa Nimempiga kwa BAHATI mbaya.
 
5.9 inch ni urefu wako au urefu wa dushe mkuu??
 
Endelea tu kujaribu bahati yako,yupo atakayekuchukulia poa. wafupi hawakosi wanawake, height sio kigezo pekee cha kukubaliwa na wadada. nachokiona kwa baadhi ya wanaume wafupi ni kutokujiamini,hayo ya kwenda kupima urefu wako yanakupeleka huko....uko ulivyo na wa kukupenda lazima akubaliane na hilo. Jipange tu uwe mwanaume ambaye mwanamke atatizama zaidi ya urefu wako na kukupenda kwa mengi zaidi makubwa na mazuri zaidi ya urefu wako. By the way height hailipi bills unless unataka u-model,sijaona mume akileta chakula nyumbani kwa urefu wake, akisomesha kwa urefu wake au hata kumpenda mwanamke vizuri kwa kutumia urefu wake.
 
Nimekuwa nikiitwa mfupi kwa muda mrefu sana,mara nyingi siamini kama ni mfupi kiasi cha kushindwa kuwa katika average heigh ambayo msichana anaweza kunichukulia poa,nikaamua kwenda kupima urefu wangu,jamaa aliyenipima aliniambia nna 5.69 inch nataka kujua kiwango cha urefu ambacho kinajulikana kuwa wafupi ni wale chini ya kipimo hiki,wanasema urefu wa mtu utegemeana na umesimama na nani,me natamani kufahamu kama kwa height ni mfupi sana or average.

Hakuna mtu mwenye urefu wa inch 5.69
 
Mi nadhani kwa mwanaume ni kuanzia 6.0feet,mwanamke labda 5feet 6inches hivi....

Kwa nchi kama Netherlands 6.0 feet ni mfupi....kwa Dinga tribe of South Sudan 6feet6" ni average kabisa....
 
Nimekuwa nikiitwa mfupi kwa muda mrefu sana,mara nyingi siamini kama ni mfupi kiasi cha kushindwa kuwa katika average heigh ambayo msichana anaweza kunichukulia poa,nikaamua kwenda kupima urefu wangu,jamaa aliyenipima aliniambia nna 5.69 inch,nataka kujua kiwango cha urefu ambacho kinajulikana kuwa wafupi ni wale chini ya kipimo hiki,wanasema urefu wa mtu utegemeana na umesimama na nani,me natamani kufahamu kama kwa height ni mfupi sana or average.

Kwa 5.69feet kwakweli wewe ni mfupi,hawakosea...ungekua 6.0feet ungekua kwenye group la warefu
 
Urefu una phobia yake...kuna wanaotaka kua warefu zaidi ya urefu zao halisi,ndio maana hata NBA wanatudanganya...

mfano Dwayne Wade wanasema ni 6'4" wakati kiukweli ni kama 6'0" tu....

lakini kwa Kevin Garnet wanasema ni 6'11" wakati ni actually 7'0",anapenda kua appear shorter on paper ila in really value ni mrefu zaidi....

Hii phobia ipo sana,jikubali na urefu wako halisi
 
5.69ft= 1.73m---> upo kwa kundi letu lile la akina Carzola na Sanchez. Usijipe presha, sie wafupi na bado hatujawahi kupigwa chini kwenye mitongozo mbona
 
kumwita mtu mrefu au mfupi inategemea unajifananisha na nani? unaweza kuwa mrefu ukakutana na mrefu mwenzako akakuona/ukajiona mfupi
 
Mi nadhani kwa mwanaume ni kuanzia 6.0feet,mwanamke labda 5feet 6inches hivi....

Kwa nchi kama Netherlands 6.0 feet ni mfupi....kwa Dinga tribe of South Sudan 6feet6" ni average kabisa....

Sudan kote hakuna tribe linaloitwa Dinga. Soma au jaribu kupeleleza utaona hauko sahihi.
 
Nimekuwa nikiitwa mfupi kwa muda mrefu sana,mara nyingi siamini kama ni mfupi kiasi cha kushindwa kuwa katika average heigh ambayo msichana anaweza kunichukulia poa,nikaamua kwenda kupima urefu wangu,jamaa aliyenipima aliniambia nna 5.69 inch,nataka kujua kiwango cha urefu ambacho kinajulikana kuwa wafupi ni wale chini ya kipimo hiki,wanasema urefu wa mtu utegemeana na umesimama na nani,me natamani kufahamu kama kwa height ni mfupi sana or average.

Kwa urefu huo huna haja ya kujiuliza Mara mbili mbili wewe ni mfupi tena sana maana 5.69 inch ni sawa na nusu ruler. (14.45 centimetres) JE ni mtu gani wa kawaida mwenye urefu huo? Maana average height ni 160 centimetres check difference hiyo ndio ujue wewe ni mfupi tena sana
 
Mimi ni mfupi lakini sikupati wewe, 5.5 inch?? Itabidi uingizwe kwenye kitabu cha Guinness!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom