Wassira: Warioba alinikimbiza CCM mwaka 1995

Wassira: Warioba alinikimbiza CCM mwaka 1995

Warioba hamuwezi Wassira kipenzi cha wanaBunda

Wanasema kipenzi cha WanaBunda ni Ester Bulaya.
Looh! Wataabika hapo baadae, hata bila Wasira huyu binti hawezi kushinda Bunda.
 
Hawakujuwa kuweka misingi bora ya kuiendesha nchi walipopewa dhamana ya kuijenga hii nchi, fikiri miaka yote ya Nyerere madarakani life expectancy ya Mtanzania haijafika miaka 45.

Nyerere anaondoka sisi ni masikini wa mwisho duniani.

Na hawa kina Warioba ndiyo waliokuwa watendaji, wakati wa Mwinyi huyu alikuwa Waziri Mkuu hakuweza kufanya au kubadili lolote. Hajaishia hapo, Mkapa anaondoka maradakani Tanzania bado tupo kwenye tano hoi za umasikini duniani.

Leo eti anataka kuaminisha watu kuwa ule ujinga wake mwenyewe alioujaza kwenye mapendekezo ya katiba ndiyo bora.

tena nililaumu sana Kikwete alipompa huyu mzee ile kazi, nilisema hivi huyu alifanya nini alipokuwa na wadhifa Tanzania hii hata leo aweze kukusanya maoni vyema? sikupata jibu lenye maana, watu wakaishia kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.

Kama si kunikosea huko ni nini? wewe hayakuumizi hayo?

Sawa Bibi yangu Faiza nimekuelewa lakini Kama pia na kumbukumbu sahihi Wasira nae ni mmojawapo wa hao wazee walio kuwepo madarakani kitambo
Sasa kinachomfanya wasira awe special ni nini Bibi ???na warioba awe mbaya au nyerere Kama unavyoamini Bibi
 
wasira.PNG

Gazeti la JAMUHURI limeripoti kuwa Wassira ni mla rushwa na Mhariri wa gazeti hilo, bwana Manyerere amedai kuwa alipatikana na hatia hiyo Mahakama Kuu na hata alipokata rufaa,rufaa yake ilitupwa na Mahakama ya Rufaa na Mhariri huyo akihojiwa na Channel 10 asubuhi hii akiwa nje ya nchi, amesema nakala ya hukumu ipo.Kichwa cha habari katika gazeti hilo kinasomeka "Wasira mla rushwa".

Hiyo ilikuwa ni kesi iliyotokana na maswala ya uchaguzi miaka ya 90.

Fuatilia Channel 10 mjadala unaendelea.

My take;
Kama sikosei,mtu yoyote aliepatikana na hatia mahakamani kwa kosa lolote la jinai, bssi anapoteza sifa ya kugombea uraisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.

Kama kweli hukumu hiyo ipo kama gazeti linavyodai,huyu mh. imekula kwake.

Kazi imeanza.
 
Jamhuri wamefanya vyema tu wawapitie na wengine kuangalia historia zao
 
Jamhuri wamefanya vyema tu wawapitie na wengine kuangalia historia zao
Cha kushangaza kuna watu wanapiga simu wanadai eti ni kuchafuana.Mimi naamini kama kweli hukumu hiyo ipo,basi huu ndio uandishi tunaoutaka maana watu wanajinadi kuwa ni wassfi hivyo vyomba vya habari vinapswa kuueleza ummma ukweli kuhusu hawa watu.
 
tokea miaka ya 90 hamna utekelezaji wa hukumu ?.

kwa nini mkapa na jk walimrinda na hukumu ?.

mafisadi united !!
 
Gazeti la JAMUHURI limeripoti kuwa Wassira ni mla rushwa na Mhariri wa gazeti hilo, bwana Manyerere amedai kuwa alipatikana na hatia hiyo Mahakama Kuu na hata alipokata rufaa,rufaa yake ilitupwa na Mahakama ya Rufaa na Mhariri huyo akihojiwa na Channel 10 asubuhi hii akiwa nje ya nchi, amesema nakala ya hukumu ipo.Kichwa cha habari katika gazeti hilo kinasomeka "Wasira mla rushwa".

Hiyo ilikuwa ni kesi iliyotokana na maswala ya uchaguzi miaka ya 90.

Fuatilia Channel 10 mjadala unaendelea.

My take;
Kama sikosei,mtu yoyote aliepatikana na hatia mahakamani kwa kosa lolote la jinai, bssi anapoteza sifa ya kugombea uraisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.

Kama kweli hukumu hiyo ipo kama gazeti linavyodai,huyu mh. imekula kwake.

Kazi imeanza.
Kuna mtu aliandika hiviii "CCM ni Kamafamilia lazima wawe na DNA za kufanana na hao wote ni familia moja hawaweziwakatofautiana. Ni ngum dada kusema kaka anakomba mboga wakati nae anajuaatasemwa ni kikojozi. Pole zao wanaojiita wasafi na kukaa ndani ya jalala latakataka na kutaka wasichafuke" ni suala la muda tu tutaona mengi! By the way hivi Mako ana msimamo gani na hii katiba yao wanayotaka ipite
 
huyu mzee leo hatakaa vizuri ofisini....nawaonya wasaidizi wake wawe makini sana leo,anaweza kuwa na hasira sana au kuwa kama mtu aliyechanganyikiwa .....ioa huo ni ukweli tena ukweli mtupu
 
ndio maana kwenye katiba mpya alipambana sana kuondoa vile vipengele vioivyokuwa vinammaliza.....sasa mambo yoooote hadharani
 
Sheria za ccm zinasemaje wagombea walioshtakiwa.mahakamani??
attachment.php
 
Attachments

  • DSC03508.jpg
    DSC03508.jpg
    64.8 KB · Views: 770
Ccm wote wanafanana ni suala la muda tu kuwajua mmoja mmoja, just imagine huyo wasira Na mkasa wote bado Ameongoza jopo la waandaa ilani, hiyo ilani itajaa madili tupu. Watu wanapiga kona kisha wanawai kufunga wenyewe. Hatareeeeeee

CCM TUPA KULE
 
Bora huyu ambaye aliwahi kushitakiwa na labda kosa lake halikuwa kubwa sana, hapa wengine hawajawahi hata kupelekewa samasi lakini wananuka ufisadi wa kutisha huku ushahidi ukiwa wazi na wamo kwenye kapu hilo hilo!
 
kama alihukumiwa alifungwa lini? na miaka mingapi?rushwa si kosa jinai jamani.
 
Ha ha ha.. Sasa kwa mfano ni nani pale ccm anaeweza kuamka na kumnyoshea kidole Wassira..?
 
Back
Top Bottom