Mwl. Nyerere Aliwahi Kumkataa Steven Masato Wasira! Mwaka 1995 Ndugu Wasira alishinda kwenye kura za Maoni huku akimshinda Jaji Warioba majina yalivyopelekwa Nec ndipo Mwl. Nyerere alipomkataa Wasira na Jina la Jaji warioba kuwa ndie Mgombea wa CCM jimbo la Bunda, Ndipo Wasira akakimbilia NCCR na jutumia Rushwa ili kumshinda Warioba na hata Mgogoro ulivyotokea NCCR na Wasira kuvuliwa Ubunge na Mahakama Wasira alimfuata Mwl. Nyerere kutaka kurudi CCM lakini Mwl. Nyerere alimkatalia na kumwambia hafai kuwa Mwana CCM! Ndipo Wasira alikwenda Kusajiri Chama Chake cha NDC kwa Maelekezo ya Mrema ambaye kipindi hiko alikuwa kwenye Mgogoro Mkubwa na Viongozi wenzake wa NCCR, na hapa ndipo alipopata jana la Tyson baada ya Wasira kuita waandishi wa habari kukitangaza Chama Chake na lipoulizwa umetumwa na Swahiba wako Mrema? Ndipo alipompiga ngumi Mwandishi.
HUYU NDIYE
STEVEN MASATO WASIRA
du atundikwe msalabani! leo anataka urais.