Wassira: Warioba alinikimbiza CCM mwaka 1995

Wassira: Warioba alinikimbiza CCM mwaka 1995

Duuuuuh alipigiwa chapuo sana humu jamvini kama mtu safi
 
Bora huyu ambaye aliwahi kushitakiwa na labda kosa lake halikuwa kubwa sana, hapa wengine hawajawahi hata kupelekewa samasi lakini wananuka ufisadi wa kutisha huku ushahidi ukiwa wazi na wamo kwenye kapu hilo hilo!

Ukiwa kushitakiwa mahakamani na kupatikana na hatia ujue umeshapoteza sifa ya kugombea uraisi.Jinai ni jinai tu iwe kubwa au ndogo inakuondolea sifa.
 
kama alihukumiwa alifungwa lini? na miaka mingapi?rushwa si kosa jinai jamani.

Kesi ilikuwa ni ya uchaguzi alivuliwa ubunge na kuzuiwa kugombea kwa miaka 10. Kumbe humu wengi bado wachanga?

Ilikuwa wakati wa kreti hizi.....
 

Attachments

  • 1433841979586.jpg
    1433841979586.jpg
    13.6 KB · Views: 267
Hapa swala siyo kushtakiwa tu je akikutwa na hatia?
Kama hukukutwa na hatia bado ccm wanamwiitaji.
Hao ndio aina ya watu ambao ccm wanawakumbatia muda wote.
Wapo wengi subiri mtasikia mengi.
 
Kamanda mimi niliamua kuwa journalist kwa sababu tu sikupenda polisi walivyokuwa wakinyanyasa watu. Nikiwa darasa la nne polisi walininyang'anya boots zangu za scout na wakaniweka ndani. Tangu siku hiyo nikaapa nitakuwa mwandishi ili niwe natetea wanaoonewa kwa kuwaandika.
Tukiwa shule - pale barabara ya umoja wa Mataifa Dar, ulikuwa na mwelekeo/ mtizamo wa kisiasa zaidi, unajua hadi leo najiuliza how comes wewe, Mashaka Mugeta na Sagati mmekuwa waandishi wa Habari?
 
kama kweli shetani akizeeka anakuwa malaika basi tusishangae ya walioba na mh wasira..miaka mingi sana imepita mpaka wajukuu ndo unasema?
 
kesi ilikuwa ni ya uchaguzi alivuliwa ubunge na kuzuiwa kugombea kwa miaka 10. Kumbe humu wengi bado wachanga?

Ilikuwa wakati wa kreti hizi.....
mpwa haahaa nimecheka mpaka akabenzi inatoka
 
Steven Wasira Anawadanganya watu kuwa yeye hana kashfa ya RUSHWA! Mwaka 1997 Mahakama ilimvua Ubunge na Kumfungia kugombea kwa kipindi cha miaka mitano baada ya kukutwa na hatia ya Kutoa Rushwa.
 
Aacha uongo wako fuatilia vizuri hiyo hukumu ipo wazi hata kwenye mtandao ipo sio kudanganya watu.WASIRA ni kiongozi pekee mwadilifu kati ya wote wanaogombea urais.
 
Huyu ndugu anaongea tu hajitambui. Hata yeye mwenyewe hajitambui hata kidogo.
 
Unamshangaa wassira mbali hivyo mwaka 1997? Lowasa mpaka sasa kateketeza zaidi ya bilioni moja kwa ajili ya kuhonga ili achaguliwe kuwa rais.
 
kwa kweli leo ktk itv amenikera sana!/
Anamshambulia EL waziwazi! ajabu sana/
AWE FAIR MZEE HUYU!
ASIFIE MEMA YAKE BILA KUMUHUSISHA MGOMBEA MWINGINE
 
Aacha uongo wako fuatilia vizuri hiyo hukumu ipo wazi hata kwenye mtandao ipo sio kudanganya watu.WASIRA ni kiongozi pekee mwadilifu kati ya wote wanaogombea urais.

what about mwigulu, mahiga, kitine ,slaa, lipumba to mention a few waadilifu mbona lukuki
 
Unamshangaa wassira mbali hivyo mwaka 1997? Lowasa mpaka sasa kateketeza zaidi ya bilioni moja kwa ajili ya kuhonga ili achaguliwe kuwa rais.

sorry! just curious hao wanaopewa rushwa na lowassa ni kina nani ? na kwa nini wanapokea. kutoa au kupokea rushwa ni kosa kisheria na wanaopewa mbona hawaendi kuripoti taku-k something is wrong somewhere
 
kwa kweli leo ktk itv amenikera sana!/
Anamshambulia EL waziwazi! ajabu sana/
AWE FAIR MZEE HUYU!
ASIFIE MEMA YAKE BILA KUMUHUSISHA MGOMBEA MWINGINE

Huyu ni ccm mwenzake, jiuluze hali itakuwa vipi kwa wapinzani wakimshambulia kwa sifa yake hii kile pindi cha miezi takribani miwili ya kampeni.
 
Back
Top Bottom