Wassira si msafi; achunguzwe!

Lakini Mzee Ndege alikufa wakati wa Mkapa, wakati huo Wasira hakuwa Waziri. Hebu fafanua Mkuu
 
Acheni upuuzi wa kufuatilia maisha ya watu.

ndio ni watu na pia ni viongozi wetu na kwa hilo wao ni kama kioo kwetu, na wanapofanya maovu katika jamii ni lazima tuyaongelee tofauti na wewe dada Radhia ukifanya maovu hayo hakuna atakae leta thread hapa JF inayokuhusu. Get the point.
 
Wasira, wasira pole sana,umechokoza nyuki,sasa haoo wanakuja, hakuna mtu aliye msafi, na wala binadamu aliyekamilika
 
Alimchukua huyu mama kabla mzee Ndege hajafariki,mbona hamsomi thread mkaielewa mnarukia kupost tu?na kulikua na sababu gani zee zima kama wassira kumuacha mkewe na kwenda kumpora mke mzee Ndege!

intelligence zinaonyesha kuwa, mke wa mr ndege kabla hajaolewa nae, ilikuwa loose ya wasira. alichofanya wassira na kuirudia loose yake ya long time. so tatizo nini?. nawashauri wapenzi wa Cdm mumshauri babu aache uzinzi. imani yake haimruhusu na si jambo la kiadilifu
 
 
Kabla ya kumuoa huyo mama Nesi ambaye kwa sasa anafanya kazi wizara ya Afya alikuwa na mke mwingine nesi pia amefanya Muhimbili kwa miaka mingi anasema alimkimbia kwa kuvunja heshima ya ndoa na vipigo
 
Wewe mleta habari hii ulikuwa wapi kuileta siku zote mpaka Dr. Slaa anakashifiwa hivyo? Hasa wakati wa uchaguzi Mkuu 2010? Wasira alitunyanyasa utadhani yeye katoka mbinguni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Too late
 
Ivi pale club bilicanas ni vijana wangapi wanaharibika kwa kujiingiza kwenye umalaya na madawa ya kulevya kwa mwezi

mbowe tujibu tafadhali
Mbowe ajibu ili iweje kwani BILCANAS NI GUEST HOUSE AU CLUB?
 
Mkuu Phillemon Mikael. Asante sana! Hii imeniburudisha siku nzima ya leo. Lakini baada ya burudani hii unaingia ktk tafakuri ya kina imekuaje mtu mwenye matendo ya kishenzi namna hii leo ni waziri mwandamizi tena ofisi ya rais!!!
 
Tena mwanamke wake wa morogoro anamsubiria ili waende wote bungeni kwenye bunge la bajeti linalokuja! Hivi huyu Wassira wa kunaniiii si huenda nakuwa zaidi ya sokwe hiyo sura yake?

Mjinga kweli, hajui serikali ya Kiwete ina naibu waziri ambaye ni Padri naye anaishi maisha kama anayoishi Slaa? Aende akaulizie naibu waziri wa vitoweo akijua ndo atatia akili na kujua kuwa kumbe alikuwa anamsema waiziri mwenzake
 
Du huyo mama anaroho ngumu maana mzee Wa hasira anasura ya kazi. Ehee mungu tujalie sisi waja wako
 
Hii ndio TZ, Watu wote wachafu hasa viongozi. Si wa kiserikali, kichama wala kidini. Nchi hii haifiki popote, labda aje Malaika kutuongoza. Wizi mtupu. C.C.M. CUF. CDM. WIZI MTUPU.

Hivi kama ni huyo mwanamke ndiye aliyemtaka mapenzi Wasira au Slaa bado mtamsema mwanababa ndiye mwizi. Vijizi vingine vianajike vilivyokimbia waume zao sasa nyinyi mnakaza kamba kwa vibaba............
 
Wassira na Mkapa na CCM wamekosa sera za maana sasa wameanza siasa za maji taka, ni upuuzi kutumia issue za personal life la mtu katika majukwaa ya siasa, matokeo yake Mkapa na Wassira wanaonekana vituko katika jamii, tangazeni sera kama wanvyofanya CHADEMA.
 
Huwezi kuiba mtu mzima bana, wanawake mnawadharirisha kuwafananisha na vitu visivyo na uwezo wa kufikiria! Waliamua wenyewe hawakuibiwa! Sheria inaruhusu kuomba fidia!
 
Kampeni ikiendele baada ya miezi miwili tu kila mtu atakuwa anajua CV ya mameneja wa kampeni pande zote.
 
Mkuu Phillemon Mikael. Asante sana! Hii imeniburudisha siku nzima ya leo. Lakini baada ya burudani hii unaingia ktk tafakuri ya kina imekuaje mtu mwenye matendo ya kishenzi namna hii leo ni waziri mwandamizi tena ofisi ya rais!!!

Hilo swali lako muulize Huyo aliyemteuwa.

Pia ujuwe kuwa tikianza kufanya sewer politics...za kugusa mambo binafsi ya watu...hakuna atakayebaki....na nguo!!.....dawa ndio hiii ...kila anayeanza hizi siasa ...ndie faili lake litaachwa wazi...ili kukomesha hii Tabia...na kuwarudisha wanasiasa kufanya kazi ya siasa kwa kuongelea sera!
 
Ni kweli Wasira alikula pesa yote iliyochangwa kwa ajili ya ujenzi wa hospitali Musoma, mpaka sasa hakuna hospitali ila magofu tu. Hata inashangaza kupewa na uwaziri!
 
Wasira imani yake haimruhusu kufanya uzinzi.
Mzinzi ni mtu aliyeoa kisha kumega au kumegwa nje ya ndoa.
Dr Slaa hajao na sikumbuki kama amewahi kuoa katika taratibu tunazozijua.
Kukata mtaa kabla ya kuoa ni Uasherati kule ushwazikwetu kwa Mfuga mpya tkiwafuma ni ndoa ya mkeka.
Nduli wetu Wasira ana mke wa kutolea mahali kabisa lakini bado tu anapiga Filimbi kila mtaa pamoja ukweli kwamba kiafya yuko ndembe ndembe.

 
Watu wanajadiri kile kilicho ndani ya uwezo wao.
Mzinzi hana haki ya kushangaa mtu asiye oa akiopoa demu na kuboba naye.
Yote haya kuhusu Wasira tusingeyasikia kama angeenda Arumeru kuuza sera za CCM.
Kwa vile kaamua kujadiri maisha ya mtu jukwaani watu wana haki ya kujadiri yake pia.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…