Tukirudi kwenye suala la Wassira...Huyu bwana alienda marekani na mama watoto wake..(anayefanya kazi wizara ya afya)...akiwa kule WaJanja wakamkazia mkewe.....akajirudia bongo!...kufika bongo hasira za kuporwa mke akazihamishia kwa mzee casmir ndege....akawa Anatembea nae kwa Siri ...,hii ikiendelea Hadi Yule mzee wa watu ajkajifia ....wakati huo mzee wassira hakuwa na pesa kwani tayari alikuwa amehamia NCCR mageuzi ambako njaa ili kamata kweli....akawa Ameajiriwa Kama marketing manager kuuza pale Samaki-namanga,Alipauka kweli, aliekuwa Anamsaidia ni Huyu hawara Yake mke wa mzee ndege.....,kwa kutumia pesa ya marehemu mumewe...na waliikamua kampuni Yake Hadi ikakaribia kufa...,,baada ya Hali kuwa mbaya sana watoto wa marehemu mzee ndege ..wakaamua kufanya board resolution ya kumuondoa mama Yao wa Kambo kwenye kampuni.....,...wakati haya yakitokea mzee wassira naye tayari mambo yalishamnyookea..akawa amekuwa waziri..,safari hii yeye ndie akawa Anamsaidia hawara Yake ...Akamfungulia kampuni mpya inaitwa Gati insurance company..na mtaji juu...na wakati haya yanafanyika ndio wassira Alianza juhudi za kuhalalisha ndoa Yake ...Pia uhasama wake na ndugu za mzee ndege tarime na dar ukawa mmbaya...na Huyu mama akishirikiana na "mumewe"..waliendelea na juhudi kubwa za kuhujumu kampuni ya famiilia ya mzee ndege ianguke....hata kuwashirikisha watu wengine akimhisisha mtoto wa kiogo mkubwa kabisa.........
Hivi karibuni kampuni hiyo imefurushwa kwenye jengo lake la ofisi...pale mtaa wa Ghana na Mirambo...
Kumbe mzee Ndege alishafariki then huyo anakuwaje mke wa mtu?
kambarage yupi?anao wawili i guess.....
hivi ni kweli amezaa na binti wa Nyerere?
Kambarage na mmoja wa watoto aliozaa na mkewe wa ndoa ...aaliyeangaukiaga kwa penzi la mapopo....
Hajazaaaa na mtoto wa mwalimu...ila ana undugu wa kutafuta kwa toshi na mama Maria .......,wakati mambo yalivyomuwia magumu kiuchumi na hawara Yake kampuni kuelekea kufa ..baada ya kuzifuja pesa za mzee ndege kwenye siisa za NCCr.."wassira alienda msasani akatambaa kwa magoti tangu getini huku analia .....kumuomba mama akamuombee Msamaha ccm...arudi kundini......
Acheni upuuzi wa kufuatilia maisha ya watu.
Hivi ulikuwa na umri gani wakati Wassira anauza samaki wabichi pale kona....:hand:
Wassira akiombwa kufanya mkutano wa hadhara pale Namanga ,,msasani ..hatadhubutu.....maana baada ya kukusa pesa na pesa za hawara Yake kukata ...chambo pekee aliyokuwa alitumia kupata wanawake ni kumpiga bosi wake bao sangara na kuwahonga mama nitilie wa Maandazi road...ili Angalau apatee mechi za nje....wengine alikuwa akiwakopa hadi Leo wanamdai.........na hata anaogopa kwenda kumshukuru Yule yamaa mwenye lile duka la samaki "aliyemfunika na nguo ".....wanasiasa ni wasahaulifu sana...
Wana JF mbona ni Wassira huyuhuyu alimpora Mzee Ndege Mke na wanaishi kama Wachumba? Na alijaribu kupeleka mahari Tarime akataliwa kuwa huyo ni mke wa mtu na Wakurya hawapokei Mahari mara mbili?
Ana usafi Gani kumuongelea DR Slaa wakati ni wasira huyuhuyu akiwa mkuu wa mkoa wa Mara alikula fedha za Hospitali ya Mkoa ambayo haipo hadi leo? Ni Wasira huyuhuyu aliyefanya Mzee ndege kufa kwa presha baada ya Wassira kumpora mke kwa Kigezo cha Uwaziri,ni Wassira huyuhuyu aliyekula fedha za Ndege Insurance na kusababisha kampuni na familia ya Mzee ndege kusambaratika.
Akae kimya aache mchezo uchezwe kwa wana siasa vijana
Wana JF mbona ni Wassira huyuhuyu alimpora Mzee Ndege Mke na wanaishi kama Wachumba? Na alijaribu kupeleka mahari Tarime akataliwa kuwa huyo ni mke wa mtu na Wakurya hawapokei Mahari mara mbili?
Ana usafi Gani kumuongelea DR Slaa wakati ni wasira huyuhuyu akiwa mkuu wa mkoa wa Mara alikula fedha za Hospitali ya Mkoa ambayo haipo hadi leo? Ni Wasira huyuhuyu aliyefanya Mzee ndege kufa kwa presha baada ya Wassira kumpora mke kwa Kigezo cha Uwaziri,ni Wassira huyuhuyu aliyekula fedha za Ndege Insurance na kusababisha kampuni na familia ya Mzee ndege kusambaratika.
Akae kimya aache mchezo uchezwe kwa wana siasa vijana
Hii ndio TZ, Watu wote wachafu hasa viongozi. Si wa kiserikali, kichama wala kidini. Nchi hii haifiki popote, labda aje Malaika kutuongoza. Wizi mtupu. C.C.M. CUF. CDM. WIZI MTUPU.