Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Kumbe mzee Ndege alishafariki then huyo anakuwaje mke wa mtu?
Umeniwahi mkuu hata mimi nilitaka kuuliza hivyohivyo!!Mleta hoja tunaomba majibu tafadhari!
Acheni upuuzi wa kufuatilia maisha ya watu.
Hata chimpanzee ni kazi ya MuumbaWacha kukosoa kazi ya Muumba bana!
Acheni upuuzi wa kufuatilia maisha ya watu.
Wana JF mbona ni Wassira huyuhuyu alimpora Mzee Ndege Mke na wanaishi kama Wachumba? Na alijaribu kupeleka mahari Tarime akataliwa kuwa huyo ni mke wa mtu na Wakurya hawapokei Mahari mara mbili?ana usafi Gani kumuongelea DR Slaa wakati ni wasira huyuhuyu akiwa mkuu wa mkoa wa Mara alikula fedha za Hospitali ya Mkoa ambayo haipo hadi leo?,ni Wasira huyuhuyu aliyefanya Mzee ndege kufa kwa presha baada ya Wassira kumpora mke kwa Kigezo cha Uwaziri,ni Wassira huyuhuyu aliyekula fedha za Ndege Insurance na kusababisha kampuni na familia ya Mzee ndege kusambaratika..
Akae kimya aache mchezo uchezwe kwa wana siasa vijana
Kwa hiyo sasa wale akina Dr Ndege wanamwita baba Mzee Tyson,ningekuwa mimi kama huyo ni mama yangu,angekoma kuwa mama yangu siku alipoporwa na TysonWana JF mbona ni Wassira huyuhuyu alimpora Mzee Ndege Mke na wanaishi kama Wachumba? Na alijaribu kupeleka mahari Tarime akataliwa kuwa huyo ni mke wa mtu na Wakurya hawapokei Mahari mara mbili?ana usafi Gani kumuongelea DR Slaa wakati ni wasira huyuhuyu akiwa mkuu wa mkoa wa Mara alikula fedha za Hospitali ya Mkoa ambayo haipo hadi leo?,ni Wasira huyuhuyu aliyefanya Mzee ndege kufa kwa presha baada ya Wassira kumpora mke kwa Kigezo cha Uwaziri,ni Wassira huyuhuyu aliyekula fedha za Ndege Insurance na kusababisha kampuni na familia ya Mzee ndege kusambaratika..
Akae kimya aache mchezo uchezwe kwa wana siasa vijana
Wassira janga la taifa lingine kama ambavyo ulivyo ukimwi...wassira anaweza kazi moja tu..KULALA BUNGENI WAKATI WABUNGE WENZAKE WAKIENDELEA NA MJADALA....
Wassira janga la taifa lingine kama ambavyo ulivyo ukimwi...wassira anaweza kazi moja tu..KULALA BUNGENI WAKATI WABUNGE WENZAKE WAKIENDELEA NA MJADALA....
Jamani kumbe wanawake ni majasiri sana, na huyu mzee wa gombe ana mke!!!Kwenye hifadhi ya gombe,kafukuza sokwe wenzake wote.atawale mbuga.
anafanana na bibi zako kule kijijini ambao hata sabuni huwapelekei umeloea uchagani unatumwa tumwa tu.
Yataka moyo kukumbatiwa na dudu kama hili, wanawake.....
jf ni zaidi ya burudani...Huyo ndiyo wasiraa mmmh nilifikiri sokwe.