Wassira: Nitagombea urais 2015

Wassira: Nitagombea urais 2015

Alisimamia vibaya swala la haki ya kuchinja kati ya Mkristo na Mwislam.Bila kujali Mfugo ni wa nani,aliwapa haki hiyo Waislam.Hafai kwa sababu hana Msimamo binafsi mpaka apewe maelekezo.
 
KIUFUPI, MH. STEPHENE WASSIRA NI TEGEMEO LA WANYONGE NA WATANZANIA KWA UJUMLA AMBAPO ANAZIJUA SHIDA NA HOMA ZA WATANZANIA.
NI MTATUZI WA MATATIZO NA MIGOGORO PALE INAPOKUWA IMESHINDIKANA.
KIONGOZI HUYU ANASTAHILI KUPEWA NCHI ILI AJE KUTUTATULIA MATATIZO YA UCHUMI, UMASIKINI, ELIMU, AJIRA NA KADHALIKA.
KIMSINGI MH. WASSIRA NI MUADILIFU, MZALENDO, MCHAPAKAZI NA ANAIPENDA NCHI YAKE TANZANIA. ANA UCHUNGU WA NCHI YAKE NA YUPO TAYARI KUIVUSHA KUTOKA KATIKA DIMBWI HILI LA UMASIKINI HADI UTAJIRI.

KILA LA KHERI MH. WASSIRA, WATANZANIA TWAKUITAJI UWE RAIS 2015 ILI UMASIKINI TZ IWE NDO BYE
BYEEEEEEEEE

View attachment 218268

feisalmollel Atasaidiaje Wanyonge wakati itikadi ya Chama Chake yaani hicho CHAMA CHA MAPINDUZI kimelikimbia JEMBE na NYUNDO sasa ni Chama halisi cha KIBEPARI.... Hakijali hao wanyonge na vijana...

Hiyo ndio katiba ya CCM kwahiyo MASIKINI ATABAKI KUWA HAO VIJANA ie PANYA ROAD ndio sera za CCM
 
KIUFUPI, MH. STEPHENE WASSIRA NI TEGEMEO LA WANYONGE NA WATANZANIA KWA UJUMLA AMBAPO ANAZIJUA SHIDA NA HOMA ZA WATANZANIA.
NI MTATUZI WA MATATIZO NA MIGOGORO PALE INAPOKUWA IMESHINDIKANA.
KIONGOZI HUYU ANASTAHILI KUPEWA NCHI ILI AJE KUTUTATULIA MATATIZO YA UCHUMI, UMASIKINI, ELIMU, AJIRA NA KADHALIKA.
KIMSINGI MH. WASSIRA NI MUADILIFU, MZALENDO, MCHAPAKAZI NA ANAIPENDA NCHI YAKE TANZANIA. ANA UCHUNGU WA NCHI YAKE NA YUPO TAYARI KUIVUSHA KUTOKA KATIKA DIMBWI HILI LA UMASIKINI HADI UTAJIRI.

KILA LA KHERI MH. WASSIRA, WATANZANIA TWAKUITAJI UWE RAIS 2015 ILI UMASIKINI TZ IWE NDO BYE
BYEEEEEEEEE

View attachment 218268 View attachment 218268View attachment 218268View attachment 218268View attachment 218268
 
hii ndo shida ya kupiga viroba asubuhi asubuhi zinakuja thread za mazingaombwe kama hizi
 
wasira akiwa raisi mimi ntajisaidia kariakoo pale round about. Haitatokea
 
View attachment 218268View attachment 218268View attachment 218268View attachment 218268View attachment 218268View attachment 218268

ni muadilifu, mchapa kazi, mzalendo, mwenyekujua shida za watanzania, mwenye uthubutu, kiboko yetu ukawa. akipeperusha bendera ya ccm tu 2015, basi ushindi kwa ccm 2015 utakuwa mkubwa sana yan 95%

th

Huyu mtoa rushwa mkubwa?Basi ungetundea HAKI wengine,kwani hatujawahi kumuona anafaa hata kuongoza kuku,ni basi tu alichaguliwa kwa kutoa rushwa ya KOFIA,T-SHIRT,Khanga na Skafu.

Pengine awe RAIS wa familia yako.
 
KIUFUPI, MH. STEPHENE WASSIRA NI TEGEMEO LA WANYONGE NA WATANZANIA KWA UJUMLA AMBAPO ANAZIJUA SHIDA NA HOMA ZA WATANZANIA.
NI MTATUZI WA MATATIZO NA MIGOGORO PALE INAPOKUWA IMESHINDIKANA.
KIONGOZI HUYU ANASTAHILI KUPEWA NCHI ILI AJE KUTUTATULIA MATATIZO YA UCHUMI, UMASIKINI, ELIMU, AJIRA NA KADHALIKA.
KIMSINGI MH. WASSIRA NI MUADILIFU, MZALENDO, MCHAPAKAZI NA ANAIPENDA NCHI YAKE TANZANIA. ANA UCHUNGU WA NCHI YAKE NA YUPO TAYARI KUIVUSHA KUTOKA KATIKA DIMBWI HILI LA UMASIKINI HADI UTAJIRI.

KILA LA KHERI MH. WASSIRA, WATANZANIA TWAKUITAJI UWE RAIS 2015 ILI UMASIKINI TZ IWE NDO BYE
BYEEEEEEEEE

View attachment 218268

Kuna watu wengine wanaamua kujitekenya na kucheka wenyewe sasa ndo wewe unayemshabikia wasra. Unamaanisha watanzania wakina nani? CCM lidubwasha hili liisha meguka vipande vipande.

Huyu wasra amekuwa kwenye serikali hii hii kwa muda mrefu. unaposema anajua matatizo ya watanzania na anaweza kutuvusha hapa tulipo kwanza tuonyeshe amefanya nini akiwa kwanza waziri wa kilimo na kwingine, kilimo bado kimeendelea kuwa ni duni kisichotekelezwa kikawa cha kisasa na kisayansi. angekuwa yuko vizuri angeinua uchumi wa wananchi na taifa kwa ujumla kupitia kilimo ila hakufanya kitu na tanzania kilimo kimeendelea kuwa ni duni. hivyo acheni ushabkiki kupenda ccm mpaka ukajitoa ufahamu. huyo wasira hawezi kuwa Rais.
 
mbona hapendezei kweny zile picha za ukutani za maofisini
 
Ngoja nibadilishe topic maana mtoto wangu anacheza hapa asije akaona picha hizi zimtishe aanze kulia bule!!!!!!!!!
 
Tutamuundia genge la panyaroad akaliongoze

Mkuu kula kwanza upunguze maruweruwe

Hahahahaaaa January ngumu kiongozi nafanya diet ya kuforce mchana umepita wima na jioni naprint mdogomdogo mpaka kibandani kwangu!!! Nina salam zako
 
KIUFUPI, MH. STEPHENE WASSIRA NI TEGEMEO LA WANYONGE NA WATANZANIA KWA UJUMLA AMBAPO ANAZIJUA SHIDA NA HOMA ZA WATANZANIA.
NI MTATUZI WA MATATIZO NA MIGOGORO PALE INAPOKUWA IMESHINDIKANA.
KIONGOZI HUYU ANASTAHILI KUPEWA NCHI ILI AJE KUTUTATULIA MATATIZO YA UCHUMI, UMASIKINI, ELIMU, AJIRA NA KADHALIKA.
KIMSINGI MH. WASSIRA NI MUADILIFU, MZALENDO, MCHAPAKAZI NA ANAIPENDA NCHI YAKE TANZANIA. ANA UCHUNGU WA NCHI YAKE NA YUPO TAYARI KUIVUSHA KUTOKA KATIKA DIMBWI HILI LA UMASIKINI HADI UTAJIRI.

KILA LA KHERI MH. WASSIRA, WATANZANIA TWAKUITAJI UWE RAIS 2015 ILI UMASIKINI TZ IWE NDO BYE
BYEEEEEEEEE

View attachment 218268

ashakum si matusi "---- wewe"
 
Tusimshambulie kwa jinsi alivyoumbwa maana hakuomba kuumbwa hivyo alivyo na kila mtu aliumbwa jinsi alivyo bia yeye kuomba awe vile alivyo. Tujadili uwezo na uadilifu wake.
 
Back
Top Bottom