Wassira anazo sifa na ni kiongozi aliye tayari kuwatumikia wanyonge, Goo Wassira Gooo!
ama kweli ccm ni chaka la waongo, kigwangalla-kaombwa, makamba-kaombwa, mwigulu-kaombwa, sumaye-kaombwa, pinda-kaombwa na wassira nae kaombwa, ni wananchi wepi hao? mnakera
Mshaanza kutuharibia siku wakati leo jumapili siku ya baraka.
Angekuwa ni mwanachadema angeitwa msaliti. Maana wana mgombea wao wa kudumu.
Wassira hongera sana kwa hatua ya kutangaza nia yako,tunakutakia kila la kheri.
Nasubilia kuona Mdahalo kati ya Dr.Slaa na Wassira hapo October mwanzoni.
Viti vitawaka moto.
Ndani ya CCM wengine wote waoga wakimbia midahalo, Mfano kama Lowassa atatoa hoja gani atakapoulizwa kuhusu Rushwa na Ufisadi.
Wajamani watu wrote wanaotaka mabadiliko kwenye taifa hili wasichangie habari ya ccm nani wamchague bali tujikite kuwashauri ukawa namna watakavyo fanya katika kumtea mgombea wa uraisi nakuweka mikakati ya ushindi na jinsi watakavyo ipanga serikali yao.
Nyalandu nae aliombwa,lakini Membe alioteshwa.
Angekuwa ni mwanachadema angeitwa msaliti. Maana wana mgombea wao wa kudumu.