SaidSabke
JF-Expert Member
- Sep 28, 2006
- 2,071
- 402
Inasemekana kuwa CCM imejipanga kurudisha imani kwa wananchi kwa kusimamisha mgombea asie na kashfa na mwenye uwezo wa kusimamia serikali usiangushwe au kuhujumiwa.
Habari za kuaminika kutoka vyanzo vya ndani ya chama vinadai kuwa CCM haiko tayari kumpitisha kiongozi aliyechafuka tayari na mwenye kashfa nyingi kufanya hivyo ni kuiweka CCM na taifa rehani.
Habari za kuaminika zinadai kuwa CCM haiwezi kumpitisha Lowassa kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni kutoaminika na chama na kuhofia safu ya serikali itakayotengenezwa kwani kiongozi huyo anaepigiwa debe na upinzani na matajiri wakubwa imewapa CCM sintofahamu kuhusu mwisho wa kiongozi huyo.
Hivyo basi ili kujiweka ktk hali ya kujihakikishia ushindi chama kimeona bora kumpitisha Tyson ili kuweza kuwaaminisha wananchi amani waliyoizoea.
Pia mzee Wassira amezid kuwapa ushawishi watu kutokana na historia yake safi na kuwatetea maskini kuhusu suala la ufisadi,hivyo tujiandae kuongozwa na mura.
Unataka kuturudisha kwenye enzi za nyerere ambpo katibu mkuu kiongozi musoma katibu wa rais musoma gavana beni kuu I musoma to mkuu wa majeshi musoma nchi ukafilisika bia ttulpanga foleni mkate tulipa nga foleni wewe umetumwa nini