Wassira: Nitagombea urais 2015

Wassira: Nitagombea urais 2015

sasa nimeikubali kauli ya kinana kwamba mpaka leo hii hana mgombea
 
Wassira anazo sifa na ni kiongozi aliye tayari kuwatumikia wanyonge, Goo Wassira Gooo!
Amekalia wizara ya chakula na ushirika hadi anahamishwa, wakulima walikuwa wanaendelea kutumia jembe la mkono, wakulima walikuwa wanategemea neema ya mvua kutoka kwa Mungu badala ya kilimo cha umwagiliaji, wakulima ndio walikuwa wanakopwa mazao yao kuliko kipindi chochote, pembejeo za kilimo ndio zilikuwa zinachakachuliwa kwa kwenda mbele,wakulima waliobahatika kuzalisha kwa nguvu zao ndio walikuwa wanachimbwa biti wasiouze mazao yao nje, viongozi wa vyama vya ushirika ndio walivimbiwa kwa wizi wa mchana wa kuwaibia wakulima, wakati haya yote yanafanyika, Wasira alikuwa mzigo kama mizigo mingine tunayoishuhudia akisinzia ofisini, Wasira amehitimisha uchovu ulichochewa na umri mkubwa kwa kusinzia Bungeni mchana kweupe. Pamoja na unyonge tulio nao watanzania, hatuhitaji raisi sampuli ya Wasira, ni bora kiti hicho akikosekana mtu wa maana akapewa hata Kibajaji wa Mtera
 
Ni miaka 19 imepita tangy Alipoingia things have changed a lot! Zile zilikua zama za mwalimu angalia zama hizi

Nadhani umeelewa Mkuu
Kuna tatizo kwenye kichwa chako,jichunguze,nimeuliza Upara aliingia na MALI?kuna zile kampuni zinazotajwa za ANBEN je aliingia nazo,aliingia akiwa ametangaza anamiliki Malori ya Michanga alipotoka alitaja mali?,Hapo kwa mzee WR-Hassira unanilazimisha kuelewa wakat ulichoandika hakieleweki,kama kaanzisha benki ya wakulima,nipeleke nikakope na kufungua akaunti Juma 3
 
Ana intellectual ability gani wasira ya kuongoza nchi zaidi ya ubabe na misuri? Upumbavu huo hatutaki. Ajaribu ccm wakione kinachowasubiri.

Usilolijua ni sawa na usiku Wa Giza chukua mda wako msome MTU. Wasira ana Utu zaidi ya unavyojua na hana Historian ya kupiga watu ni MTU Wa hoja kwa hoja
 
masikin et rais wassira hahahaha uyu mzee uyu mm sina shida na sura yake nina shida na akili yake yan seriously anaona na yy anaeza akaongoza nchi maskini tanzania nchi yangu
 
jaman let's pray for our country yan kigwangala,pinda,wassira,mwigulu,naskia na komba nae anataka,aiseeh
 
Yawezekana nimesahau. Naomba unikumbushe. Huyu Wasira alishawahi kutoa hoja gani kweli ya maana? Pili unasema hana upigaji watu ni mtu wa hoja, jina la Tyson lilitokana na nini?

Tatu kwao hawamtaki, kwa n ini wewe ulazimishe awe raisi . Raisi wa nani?

Yeye mwenyewe anafahamu na diyo maaana hata kuna siku aliwaambia wapiga kura wake wakti wanahoji akasema ".....si mlinichagua kwa pesa zangu...", a corrupt president. Hakuna wasira hatakuja kuwa raisi wa nchi hii kamwe!. Hata afanyeje. Hata wafuasi wake mmuoshe kwa magadi na hisopo!. Mnapoteza muda tu kwa sababu hatumchagui.

Usilolijua ni sawa na usikuu Wa Giza chukua mda wako msome MTU. Wasira ana Utu zaidi ya unavyojua na hana Historian ya kupiga watu ni MTU Wa hoja kwa hoja
 
...naamini alimaanisha rais wa red cross society...
 
Hii sasa ni kuchezeana. Wassira akiwa rais nani atakuwa mtawala wa nchi ikiwa Wassira huyu huyu ni bingwa wa kulala bungeni. Akiwa rais Si ndiyo atakuwa analala na kusahau majukumu yake jamani?
 
Tuwe na staha ndo utamaduni wetu Mkuu matusi hayatasaidia maendeleo ya nchi yetu

Hizo sauti za waliokata tamaa, baada ya kuchoka na Propagandas sasa wanaleta Nonsenses! Definitely this Country will not need them! Respect yourself and others will respect you. And Stop offending others!
 
Back
Top Bottom