Wassira: Nitagombea urais 2015

Wassira: Nitagombea urais 2015

Haya mazee ndio chanzo cha umaskini nchi hii, yamejirundikia mali, hakuna yalichofanya zaidi ya kujaza matumbo lakini leo yanataka Urais
 
Haya mazee ndio chanzo cha umaskini nchi hii, yamejirundikia mali, hakuna yalichofanya zaidi ya kujaza matumbo lakini leo yanataka Urais

Mzee Wasira ni maskini inaonyesha hana kipaji cha kuiba kama wenzie. Waseme mengine ila kati ya viongozi kwetu huyu ndo maskini. Anafaa kututetea wanyonge Wa Igurusi
 
Kaamzisha Benki ya Kilimo wakati akiwa Waziri Mwenye dhamana inazinduliwa mwaka huu yy ndo alitoa wazo mengi kafanya

sasa ukiambiwa utaje benk zilizopo nchin utaitaja hiyo benk,umesema kaanzisha benk ya wakulima,halafu unasema itaanza mwaka huu,ina maana hakuna benk,hebu jaman mchoke kupiga porojo
 
wassira hafai kuwa raisi kwa ufupi ccm hakuna mwenye sifa ya kugombea uraisi 2015
 
wassira hafai kuwa raisi kwa ufupi ccm hakuna mwenye sifa ya kugombea uraisi 2015

Hata CDM nadhani hamna cjui turudishe utawala Wa kichief? Au we unionaje halo au kama VP tuwalete wazungu wake watutawale kabisa
 
Kidogo Atatupunguzia Mzigo Wa Kusafiri Safiri Maana Wadhungu Watamuogopo.

Umenichekesha sana, dah kweli Tanzania sasa itakuwa nchi bora kwa utalii Africa maana wadhungu wataanzia Ikulu then Serengeti, Tarangire, Ngorongpro n.k. Safi sana!!!!!!!!!
 
Mwaka 1995 hakutumia mda wake kukashifu CCM zaidi yeye alijikita kupambana na Warioba. Umri so kigezo cha kumfanya asiwe Rais angalia viongozi wengi Wa bara LA Afrika karibia wrote wanazaidi ya miaka 70 kwa Afya mzee Wasira analipa sana

MWAKA 1995 wasira aliitukana CCM kuliko wakati mwingine wowote, kama hujui jambo kaa kimya, NIKUULIZE WASIRA ALIRUDI LINI CCM na ninani walimshawishi kurudi kama kweli wewe wamjua TYSON vizuri
 
Huyu mzee si alikuwa waziri wa kilimo na kupewa jina la Tyson! Alifanya nini katika kipindi chake hadi aseme ataboresha kilimo akiupata urais! Ni ajabu na kweli.
 
Acha kukurupuka kwa kuandika umbea aghaaa! Aliibaa hela alikua Mhasibu Mkuu Wa wizara??? Tens hzo kashfa mnzaziibua ndo mnamzidishia umaarufu

hujitambui cna muda na watu kama nyie kinachokusukuma ni nguvu ya M PESA sio wewe binafsi ila fahamu WASIRA HAFAI wana CCM wenzangu pesa tuliyokodishia chama kwa hawa jamaa haijaisha tukirudishe chama kwa wanachama?
 
Rais awe Wasira du? Kwa chama kipi sasa maana mwakani habari za CCM tutazitupa msalani.
 
hujitambui cna muda na watu kama nyie kinachokusukuma ni nguvu ya M PESA sio wewe binafsi ila fahamu WASIRA HAFAI wana CCM wenzangu pesa tuliyokodishia chama kwa hawa jamaa haijaisha tukirudishe chama kwa wanachama?

Ha ha ha ha lakini c unajua M Pesa ndo ina nguvu kuliko hata bank hapa nchini
 
Hili ni jembe naliaminia sana, Wassira unaweza kuongoza hii nchi bila wasiwasi tena ktk kipindi hiki kigumu wewe hasa unastahil. ....!!
 
Wananchi wanaozungumziwa hapa ni hawa Buku 7, pia wamewaomba hawa atakayefanikiwa kuingia Ikulu awaongezee Buku nyingine 14 ili wapate Buku 21 kwa sababu gharama za kuishi MUJINI zimeongezeka sana.

ama kweli ccm ni chaka la waongo, kigwangalla-kaombwa, makamba-kaombwa, mwigulu-kaombwa, sumaye-kaombwa, pinda-kaombwa na wassira nae kaombwa, ni wananchi wepi hao? mnakera
 
Back
Top Bottom