Wassira: Nitagombea urais 2015

Wassira: Nitagombea urais 2015

Yawezekana nimesahau. Naomba unikumbushe. Huyu Wasira alishawahi kutoa hoja gani kweli ya maana? Pili unasema hana upigaji watu ni mtu wa hoja, jina la Tyson lilitokana na nini?

Tatu kwao hawamtaki, kwa n ini wewe ulazimishe awe raisi . Raisi wa nani?

Yeye mwenyewe anafahamu na diyo maaana hata kuna siku aliwaambia wapiga kura wake wakti wanahoji akasema ".....si mlinichagua kwa pesa zangu...", a corrupt president. Hakuna wasira hatakuja kuwa raisi wa nchi hii kamwe!. Hata afanyeje. Hata wafuasi wake mmuoshe kwa magadi na hisopo!. Mnapoteza muda tu kwa sababu hatumchagui.

usizungumzie nafsi za watanZania we ni nani bana ?
??? Ccm inawenyewe
 
Yawezekana nimesahau. Naomba unikumbushe. Huyu Wasira alishawahi kutoa hoja gani kweli ya maana? Pili unasema hana upigaji watu ni mtu wa hoja, jina la Tyson lilitokana na nini?

Tatu kwao hawamtaki, kwa n ini wewe ulazimishe awe raisi . Raisi wa nani?

Yeye mwenyewe anafahamu na diyo maaana hata kuna siku aliwaambia wapiga kura wake wakti wanahoji akasema ".....si mlinichagua kwa pesa zangu...", a corrupt president. Hakuna wasira hatakuja kuwa raisi wa nchi hii kamwe!. Hata afanyeje. Hata wafuasi wake mmuoshe kwa magadi na hisopo!. Mnapoteza muda tu kwa sababu hatumchagui.

Jina Tyson alipewa baada ya kufungiwa kutogombea kwa hira za Warioba na ilikua mwaka 1996 yeye mwenyewe akiongea na waadishi Wa habari baada ya ubunge wake kutenguliwa alisema hata wangerudia uchaguzi ATAMPIGA WARIOBA NOCK OUT. KAMQ TYSON kwa kipindi hicho Tyson alikua anasikika sana kwenye uringo Wa masumbwi.
 
Amezaliwa 1945, mwaka kesho atakuwa na miaka 70.

Slaa amezaliwa 1948 na Nape anamwita Babu, sasa Wassira tumwiteje, kababu, kibabu au libabu ama jibabu?
 
Hizo sauti za waliokata tamaa, baada ya kuchoka na Propagandas sasa wanaleta Nonsenses! Definitely this Country will not need them! Respect yourself and others will respect you. And Stop offending others!

Stupid kama umekata tamaa we c wote
 
masikin et rais wassira hahahaha uyu mzee uyu mm sina shida na sura yake nina shida na akili yake yan seriously anaona na yy anaeza akaongoza nchi maskini tanzania nchi yangu

Hata muoa mama yako Mkuu sura ni kazi ya mungu akili ndo maana kapewa uwaziri kwa nn asipewe baba yako aisee
 
eti wewe ndo mtetez wa wasira aiseeeh na kakuahid kaukuu ka wilaya labda doh
 
Inasemekana kuwa CCM imejipanga kurudisha imani kwa wananchi kwa kusimamisha mgombea asie na kashfa na mwenye uwezo wa kusimamia serikali usiangushwe au kuhujumiwa.

Habari za kuaminika kutoka vyanzo vya ndani ya chama vinadai kuwa CCM haiko tayari kumpitisha kiongozi aliyechafuka tayari na mwenye kashfa nyingi kufanya hivyo ni kuiweka CCM na taifa rehani.

Habari za kuaminika zinadai kuwa CCM haiwezi kumpitisha Lowassa kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni kutoaminika na chama na kuhofia safu ya serikali itakayotengenezwa kwani kiongozi huyo anaepigiwa debe na upinzani na matajiri wakubwa imewapa CCM sintofahamu kuhusu mwisho wa kiongozi huyo.

Hivyo basi ili kujiweka ktk hali ya kujihakikishia ushindi chama kimeona bora kumpitisha Tyson ili kuweza kuwaaminisha wananchi amani waliyoizoea.

Pia mzee Wassira amezid kuwapa ushawishi watu kutokana na historia yake safi na kuwatetea maskini kuhusu suala la ufisadi,hivyo tujiandae kuongozwa na mura.
 
inasemekana kuwa CCMZ imejipanga kurudisha imani kwa wananchi kwa kusimamisha mgombea asie na kashfa na mwenye uwezo wa kusimamia serikali usiangushwe au kuhujumiwa habar za kuaminika kutoka vyanzo vya ndani ya chama vinadai kuwa ccm haiko tayar kumpotisha kiongozi aliyechafuka tiar na mwenye kashfa nyingi kufanya hivyo nj kuiweka ccm na taifa rehani habar za kuaminika zinadai kuwa ccm haiwezi kumpitisha lowasa kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni kutoaminika na chama na kuhofia safu ya serikali itakayotengenezwa kwani kiongozi huyo anaepigiwa debe na upinzani na matajri wakubwa imewapa ccm cntofahamu kuhusu mwisho wa kiongozi huyo hivyo basi ili kujiweka ktk hali ya kujihakikishia ushindi chama kimeons bora kumpitisha tyson ili kuweza kuwaaminisha wananchi amani waliyoizoea... pia mzee wasira amezid kuwapa ushawishi watu kutokana na historia yake safi na kuwatetea maskin kuhusu suala la ufisadi... hivyo tujiandae kuongozwa na muraaa

hii habari umeiandika ukiwa kwenye folen ya magari kalibu na trafik light, arafu taa ya kijani ikawaka nini? kama ni hivyo park gar yako vizuri ututumie ujumbe vizuri mkuu!!! na chanzo
 
Hivyo Muraa anafanana na ulimwengu wetu binadamu hata awe rais wetu!
 
Back
Top Bottom