saa ngapi atakuwa karibu na wananchi. msimu wa kulima mashamba umepita, tunaelekea kuvuna,. tutakapoanza kutayarisha mashamba atakuwa kwenye kampeni. amepelekwa kilimo ili fedha zinazobaki wizarani tunapoelekea bunge la bajeti azikombe na zimsaidie kwenye ngwe inayokuja. kule kwake Bunda kunawaka moto na wizara ya mahusiano hakuna kitu zaidi ya mahaba.Kapelekwa wizara ya kilimo na chakula ili awe karibu na wananchi,lengo ni kuwafanya wananchi ambao wengi watu ni wakulima tuwe na imani nae ili mwezi october tumpigie kura.