jamani gazeti la mwananchi lilimpiga picha huyu mheshimiwa lakinihalikuwandika kuwa amelala, bali anatafakari hoja bungeni, ivi hilila kulala limetoka wapi? mbona anajishisi?
Siku nyingine namshauri atafute miwani myeusi ili kila anapokunywa hizo dawa asionekane amelala mjengoni
umesahau kuwa wabunge wa ccm ni wehu akiwemo wasira?Steven waasira anasema gazeti lwa mwananchi linapenda kuandika habari za uchochezi hasa kwa kumpiga picha akiwa amelala,amesema siku hiyo ni kweli alilala,na sababu ya kulala ni kutokana na kuumwa kwake,maana alikuwa akiumwa mafia ndio maana akasinzia......Sosi:Mwananchi
asipohudhuria angekosa poshoSasa kama alikuwa anaumwa kwa nini hakwenda hospitali?? ama kwa nini hakwenda kulala nyumbani badala ya ke akageuza kiti cha bunge kuwa kitanda.
Dah! Pole sana muheshimiwa lkn kwenda hospitali.je muheshimiwa mrema alikuwa ana nini?