Mfuate kule porini kigoma ukale nae matunda na mahindi mabichiNamkubali sana Wassira.
Namkubali sana Wassira.
Akina slaa na mbowe walishiba juice ya ikulu wakapata kiwewe sasa wanaitaka tena, hakuna kuonekana ikulu, wataishia hukohuko bilicanas
Namkubali sana Wassira.
Akina slaa na mbowe walishiba juice ya ikulu wakapata kiwewe sasa wanaitaka tena, hakuna kuonekana ikulu, wataishia hukohuko bilicanas
nijuavyo wao watakuwa tumeshawaondoa labda ikulu ya chimwaga hii itabaki kwa muda kabla ya kuanza kuuza thamani zakeKwa muda upi watakaobaki ikulu?Mbona kauli zake hazionyeshi umakini katika kusoma alama za nyakati?
Juice ya ikulu inafananaje tofauti na nyingine zinazopatikana kwingine? wale wote wana uwezo wa kunywa juice na chai yoyote waitakayo popote hata majumbani mwao. Kuna watu kwao chakula ni issue, sijui kwa nini! hata kama si maskini lakini wakizungumzia kula kunywa utafikiri kitu gani sijui! nilimsikia pia malima akizungumzia hicho kitu bungeni nikashangaa! Naona kuna watu wenye culture ya kuabudu vilaji na vinywaji, ila hao mnaowahusisha ninaamini hawana hizo
Uyu mzee nae bwana kuzeeka au?. Ikulu kwani ndio Bunda. Ikulu ni ya watz wote. Muda wowote mtz akitaka anaenda.