Watu wenyewe kazi yao ni kupigana tu halafu ikulu wakafanye nini ikulu hawapigani ni hahara patakatifu.
unaongelea hao sasa ivi anakabinti kengine 21 yearsChadema wanaongoza kwa ubinafsi dk slaa akazuia wake wawili halafu wote hajawatolea mahali hiyo tuite nini sasa.
Nilitegemea angesema hawatawaita wapinza kwenye makao makuu ya CCM... Ikulu ni ya watanzania... Sasa kama wanaona wapinzani ni wahamiaji haramu waseme ....Mh. Waasira amesema hawatawaita tena wapinzani ikulu kutokana na msimamo wao wa kususia vikao vya bunge katika mjadala wa katiba mpya.
Source gazeti MTANZANIA leo
Chadema watapelekwa Ikulu na wananchi wenyewe sio ccm, kama mlivyoshangaa Arusha ndivyo mtakaposhangaa 2015Mh. Waasira amesema hawatawaita tena wapinzani ikulu kutokana na msimamo wao wa kususia vikao vya bunge katika mjadala wa katiba mpya.
Source gazeti MTANZANIA leo
Wasira ndio mwarobaini wa hawa watukutu,ngoja awe Rais nadhani zile MIC za bunge hazitavunjwa.Mh. Waasira amesema hawatawaita tena wapinzani ikulu kutokana na msimamo wao wa kususia vikao vya bunge katika mjadala wa katiba mpya.
Source gazeti MTANZANIA leo
lakini sio wahuni wahuni km nyie na genge lenu mnaogomea katiba mpya
We kweli mkuda kweli, sasa ulitaka aibe Madini ya Watanzania apeleke Bunda? kwani amekuwa Mchaga, hao ndio wakipewa madaraka kidogo tu kila kitu kwao, huoni kuwa huo ni Utumishi wa kutolewa mfano.Chama changu bhana hatuishi vituko daily...
Sasa kuwaita ikulu lini tena wakati wassira mwenyewe anajua 2015 hana chake Bunda(wilaya maskini zaidi TZ)