Kwa muda upi watakaobaki ikulu?Mbona kauli zake hazionyeshi umakini katika kusoma alama za nyakati?
Lini walishawahi waita?
Lakini taarifa unazo kuwa ndie Rais wako 2015? au hujajua?
Sasa waambie wale watoto wenzako waache upuuzi wa kujilinganisha na watu wazima wanaowazidi CV kubwa, saizi yenu ni akina Zitto, Mtela,na akina Mchange, Wassira ni namba nyingine.
Huyo ndie Plaizi yenu.
We kweli mkuda kweli, sasa ulitaka aibe Madini ya Watanzania apeleke Bunda? kwani amekuwa Mchaga, hao ndio wakipewa madaraka kidogo tu kila kitu kwao, huoni kuwa huo ni Utumishi wa kutolewa mfano.
Mbona Butiama watu wanakula Maembe na mizizi lakini ndio nyumbani kwa Baba wa Taifa aliyeongoza Taifa hili likiwa na Wajinga wengi na wasomi 3 kwa miaka 25.
Jitafakari na ujue watu makini na wazalendo waliobaki nchi hii ni wachache sana akiwemo Wassira
(Mwanafunzi wa Nyerere).
Gamba mkubwa we.Akina slaa na mbowe walishiba juice ya ikulu wakapata kiwewe sasa wanaitaka tena, hakuna kuonekana ikulu, wataishia hukohuko bilicanas
Hahahahahaha, kweli mwaka huu
tutaona mengi, so umasikini na kuwa nawajinga wengi na wasomi 3 kwa
miaka 25 ndo kitu cha kujivunia?na je Wasira naye ni fukara kama wana
jimbo wake? Bunda kuna white gold (pamba) kwa wingi je yeye km mbunge
amewasaidia nn wana Bunda ili wapate soko la uhakika na kujibiidisha ili
waondokane na hali ya ufukara, usiwalaumu wachaga (mi cyo) maana
wanajua kutumia opportunities 2 their advantage ili kutokuwa mafukara
karbu kla eneo la nchi utasikia duka la mangi, wenzetu watazdi kusonga
mbele wakat sisi 2napiga domo kuwa ni wez, kiukweli wengi wao ni
wachapakazi, ashakum si matusi mimi A- level nimesoma bunda Ikizu sec
watu wa huko wengi ni wavivu sana na ndo maana bunda inasemwa km wilaya
masikini Tanzania, yeye km mbunge anapaswa kuwaasa wana jimbo lake
wafanye kaz kwa bidii na ndo maana hata vitabu vya din vinasema
asiyefanya kaz na asile na daima mtu mwenye bidii kwenye kaz zake
atakula pamoja na wafalme, Bunda waache fikra potofu na wachape kaz la
sivyo wataishia kunga'nga'nia mapanki milele
kumbe chadema wanalilia kuitwa ikulu?anahisi watakalia ikulu milele nini?
ipo siku nao watakuwa wanasubili au wanalilia kuitwa ikulu kuongea na raisi.
hivi una imani kabisa chadema kushinda 2015?.Hata hvyo muda wa kuwaita ikulu umeisha, sasa muda wa kuwapisha ikulu
Hivi kuna wahuni zaidi ya mateja wanaokaribishwa na kukirimiwa ikulu?lakini sio wahuni wahuni km nyie na genge lenu mnaogomea katiba mpya
Kwa muda upi watakaobaki ikulu?Mbona kauli zake hazionyeshi umakini katika kusoma alama za nyakati?