Wassira: Hatutawaita tena wapinzani Ikulu

Wassira: Hatutawaita tena wapinzani Ikulu

lakini sio wahuni wahuni km nyie na genge lenu mnaogomea katiba mpya

..kwani ni nani aliyekuwa anaihitaji kwa kupiga kelele kabla kama sio hao unaowaita wahuni?Kwa tathmini ya haraka CCM walisukumwa na kelele za wengi(hao unaowaita wahuni,wananchi na wasomi) wakaona kuna hatari zaidi ya kuendelea kupoteza imani toka kwa wanaowaongoza,hvyo wakaanzisha mchakato.Na kwa misingi hiyohiyo wanapinga vpengele vingi sana hasa vile vinavyowapotezea nafasi ya wao kuendelea kula(kifisadi).Kimsingi ccm ndio wanaogomea katiba yenye maslahi kwa nchi,wanaweka maslahi ya chama mbele na ndio maana kila hoja ya serikali ikipelekwa dom wao ni NDIYOO hata ya kuijadili kwa upana wake;na hawa viti maalumu ndio kujipendekeza hapo!
 
Haha Wassira ameshasahau mara hii kua yeye si msemaji wa JK?.......ngoja amgeuke.
 
Unataka kusema kuwa mlipowaita safari ile ilikuwa ili muwashauri wasisusie vikao vya bunge hata kama ni bomu na sasa wamekiuka makubaliano?
 
Unaona mawazo ya wana ccm, ni ubinafsi tupu,wanaona nchi ni yao ndo maana wanauza maliasili za nchi kwa mawazo yao mafupi kuwa ni mali ya ccm.shame upon him.yeye ndo mwisho kuwepo ikulu rais gani tena atamwifadhi ikulu?.
 
Hivi huyu hajui ikulu ni mali ya kila Mtanzania! yaani na mali ya umma...!Huyu kweli ni kweso.!
 
Wasira hujajua tu,ni kwel hutawaita ikulu kwasababu hutakuwepo,labda wapinzani wakuite tu wewe maana wanaichukua muda c mrefu! huna jipya!!
 
ccm itakuwepo ikulu karne nyingi zijazo. Hatutaki watembea na sumu wala wamwagia watu tindikali wakanyage mahali patakatifu

Wewe lazima utakuwa na utapia mulo wa akiri.Hivi wewe unaona ni bora wauza sembe/wang'oa macho na kucha za watu na wauaji wa tembo wetu ndo wanaofaa kuendelea kukaa ikulu????????.
 
Kwa muda upi watakaobaki ikulu?Mbona kauli zake hazionyeshi umakini katika kusoma alama za nyakati?
Za kwako zinaumakini gani we ndo bure kabisa bora hata sugu anayepigana bungeni na kuburuzwa chini kama teja.
 
Kwa sababu hawa wapinzani wanapenda kula hasa chadema wasipoitwa ikulu wataandamana labda muwe mnawapelekea chakula pale chamani kwao.
 
Wewe lazima utakuwa na utapia mulo wa akiri.Hivi wewe unaona ni bora wauza sembe/wang'oa macho na kucha za watu na wauaji wa tembo wetu ndo wanaofaa kuendelea kukaa ikulu????????.
Mawazo na tabia zako kama za chura kuwepo kwenye maji halafu bado mchafu tu.
 
Watu wenyewe kazi yao ni kupigana tu halafu ikulu wakafanye nini ikulu hawapigani ni hahara patakatifu.
 
Kwa muda upi watakaobaki ikulu?Mbona kauli zake hazionyeshi umakini katika kusoma alama za nyakati?

Mimi nilidhani kuwaita wapinzani ikulu kulikua na lengo la kutafuta ufumbuzi wa mambo muhimu, kumbe ilikua ni hongo, kama masharti yenyewe ndio hayo, wasiwaite tu. Huwezi kuacha kusimamia misimamo yako kisa unaogopa kutoalikwa ikulu!
 
Unaona mawazo ya wana ccm, ni ubinafsi tupu,wanaona nchi ni yao ndo maana wanauza maliasili za nchi kwa mawazo yao mafupi kuwa ni mali ya ccm.shame upon him.yeye ndo mwisho kuwepo ikulu rais gani tena atamwifadhi ikulu?.
Chadema wanaongoza kwa ubinafsi dk slaa akazuia wake wawili halafu wote hajawatolea mahali hiyo tuite nini sasa.
 
Mh. Waasira amesema hawatawaita tena wapinzani ikulu kutokana na msimamo wao wa kususia vikao vya bunge katika mjadala wa katiba mpya.

Source gazeti MTANZANIA leo

Hawakumuuliza kwamba ikulu ni mali ya nani?
 
yeye azidi kutumia pesa za watanzania kufanya vikao vya siri pake kwake na akimaliza vikao anawagaia wajumbe mizinga ya henesy wakanywe nafamilia zao...basi watu wa musoma ambao huwa wanakwenda kwenye vikao vyake wanafurahi kwa sababu wana muona zuzu wakati wanajua awezi kuwa raisi wa nchi maisha mpaka siku anaingia kaburini
 
Chama changu bhana hatuishi vituko daily...
Sasa kuwaita ikulu lini tena wakati wassira mwenyewe anajua 2015 hana chake Bunda(wilaya maskini zaidi TZ)
 
Back
Top Bottom