Wassira: Dk Slaa Si Msafi!

''hata yeye'' this is very nonsense statements of our politicians

kwa hiyo wassira na CCM yake wana fanya ufisadi kwa sababu Slaa naye alifanya ufisadi......what a shame on this

Chimpazee!!

Sio imekusikitisha/kukushangaza wewe tu kamanda.Hawa watu hawana upeo wa kufikiri na hawataki kubadilika kuendana na wakati.Wasira ni mropokaji asiyeshirikisha ubongo siku zote.
 
Kuyasikiliza/kujadili maneno ya wasira ni kupoteza muda.Mtu anayetumia nguvu nyingi za mwili wake zaidi ya ubongo/akili /maarifa ni dhambi kujadiliwa humu Home of Great thinkerz
 
PAUKWAAAAAAA!!!!
pakawaaaaaaaaaa!!!
Hapo zamani za kale.....!!
Enh!
Palikuwepo bwana mmoja...
ndioo
Alisoma weeee....
Enhee
Hadi akawa padri.....
Lete! Lete! Leteeee!!
Sasa wakati ule akiwa padri....
Leteeeee!
Inasemakana akananiii...
Nini?
Hadithi yangu imeishia hapo!
 
Mbona miaka yote hamjatoa malalamiko haya?

Kwa kweli sisiem wamepoteza network full.
Kwa ujumla CDM imewanyima usingizi na Mi nahisi hii ni traller tu ngoja huo mziki wa mwaka 2015 kama wengine hawajaomba uraia ktk Nchi ya watu.

Mafisadi ni janga kubwa kwa Nchi yetu kama hii!
 
Hakuna mtu aliye hai wa akili anaweza kusikiliza akili za maiti wasira kwani hilo chimpanzee lilikufa mara tu baada ya kula matapishi yake.hivi sasa ni maiti inayotembea kama mzuka kutokana na uchawi wake,kwa maana hiyo wasira ni shetani maana alitaka kumuua kabisa mzee warioba,sasa amechokoza watumishi wa mungu hakika maiti hii itazikwa ardhini kabla ya 2015.
 
uyu mzee atakua kakurupuka ucngizin juu ya jukwaa. Kwa mTz mwenye akili ataelewa uyu mzee anachofanya nikualalisha ufisadi
 
Hakuna mtu aliye hai wa akili anaweza kusikiliza akili za maiti wasira kwani hilo chimpanzee lilikufa mara tu baada ya kula matapishi yake.hivi sasa ni maiti inayotembea kama mzuka kutokana na uchawi wake,kwa maana hiyo wasira ni shetani maana alitaka kumuua kabisa mzee warioba,sasa amechokoza watumishi wa mungu hakika maiti hii itazikwa ardhini kabla ya 2015.

hebu dadavua, alitaka kumuua warioba? How? Mwaga
 
haya mambo ya kanisa yanatoka wapi arumeru,na mbona kanisa halija wahi kulalamika ju ya tuhuma hizi?au wamemwomba wasira awasemee,huyo dr slaa mwenyewe hayupo hata huko arumeru kulikoni mnamjadili yeye na kuacha mambo muhimu yanayo wahusu wana arumeru?afathili hata slaa angekwa huko ua angekuwa amempiga kijembe mtu aliyeko huko.hi inaonyesha ni vipi m meishiwa sera
 
hivi kwa nini akikosolewa mbowe na slaa wanajf-cdm mnatoa lugha kali na mbovu?ndugu zangu nawashauri tusipende kukurupuka namna hii mtaua chama chenu,jengeni hoja ,mathalani thread ya tuntemenke watu wametoa matusi wakati hoja ni nzuri sana,jaribuni kujpanga vma
 
Maisha ya na wasifu wa dk slaa una viashiria vya mashaka lakini kuna watu hapa jf hawataki tuhoji tuhuma dhidi ya slaa. Wapo wanaothubutu kujibu kwa niaba yake
 
Hata mie nawashauri cdm waiprint iyo picha akiwa usingizini,wailete live..chipanzee

jamani Wassira ni moja kati ya wazee wapuuzi ambao hua sitilii maanani chochote wanachozungumza zaidi kuwaondoa wanangu sebuleni wasijeota ndoto mbaya kwa sababu ya msura wake. Ila pamoja na hayo litakua jambo jema kama Dr. Slaa akitolea ufafanuzi upuuzi huu wote uliosemwa juu yake. Ni sisi wachache with the abilility of looking outside the box ndio tunapuuza hizi porojo lakini perhaps kuna watu wasioko humu jamvini wanaweza kuzitilia maanani.
 
Duh!!! Slaa mpaka leo ana mchumba tu. Jizee la miaka sitini na kuendelea! Kweli Watanzania mna mambo. Si aoe tu. Bado wanaendelea na zinaa?
 
Back
Top Bottom