Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.
Source Gazeti Jamuhuri

huyu mzee kakubali yaishe?Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.
Source Gazeti Jamuhuri
Wanapenda waendelee kula keki ya taifa wenyewe na familia zao.
Hivi hauwezi kuleta mada bila kingiza upuuzi kama huo kwenye maandishi mekundu? CHADEMA kama kampuni inaweza kufilisika wakati wowote.Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.
Source Gazeti Jamuhuri
Sema hujamuelewa Wasira Mkuu, amemaanisha kuwa chadema kina wenyewe na hao hata wapewe utajiri nusu ya nchi na Ccm au mito ya asali na maziwa iwekwe nchi nzima hawatokubali kukiacha cdm. Mi nawashangaa watu kama nyinyi wa kanda ya kati mnajihangaisha na cdm, hiki chama kimewamezesha watu sumu mbaya sana na kuitema ni ngumu.
We wasira NCCR ilikulea, unaweza ukajikuta CDM siku moja.Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.
Source Gazeti Jamuhuri
ana bahati kweli! baada ya kukataliwa bunda mjini hatimaye amefanikisha mbinu chafu za kugawa jimbo ili akimbilie vijijini.Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.
Source Gazeti Jamuhuri
Umeona eeh?Mambo mengine ni magumu kuamin! Hasa ukizingatia wadhifa,sifa na heshima ya mtu katika jamii.
Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.
Source Gazeti Jamuhuri
ana bahati kweli! baada ya kukataliwa bunda mjini hatimaye amefanikisha mbinu chafu za kugawa jimbo ili akimbilie vijijini.