strugglist-2015
Member
- Dec 4, 2012
- 33
- 3
kama anatamaini tanzania kuwa misri ajaribu kufuta chama upinzani labda wakifute cck na chauma
Ha ha ha hahahahahahahaa,kama ni kweli nimecheka sana.Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.
Source Gazeti Jamuhuri
bungeni kala banRitz, Simiyu yetu, HAMY-D, bungeni. Nadhani mmepata taarifa kwamba mzee wenu amekiri kwamba haiwezekani kukisambaratisha CHADEMA hivyo tafuteni namna mpya ya kufanya siasa lakini kwa mfumo huu wa siasa zenu uchwara mnakiangamiza Chama Cha Mapinduzi.
watu8 hebu fikiria hivi....ili Barcelona iwe bingwa inabidi izihujumu timu zingine.Hivi demokrasia ni kuviua vyama vya upinzani au kutangaza sera madhubuti....
Hivi demokrasia ni kuviua vyama vya upinzani au kutangaza sera madhubuti....
Kama tulivyowapa muda na sasa kuanza kukiri hadharani kwamba chama dume hawakiwezi kukiua, basi tuendelee kuwapa muda hivyo hivyo kwani si muda mrefu watakuja wenyewe kukiri kwamba 2015, Ikulu ni itakuwa ikiongozwa na Akili kubwaRitz, Simiyu yetu, HAMY-D, bungeni. Nadhani mmepata taarifa kwamba mzee wenu amekiri kwamba haiwezekani kukisambaratisha CHADEMA hivyo tafuteni namna mpya ya kufanya siasa lakini kwa mfumo huu wa siasa zenu uchwara mnakiangamiza Chama Cha Mapinduzi.
Anayekili kwa kinywa chake kwamba Yesu ni Bwana amesamehewa!
Ritz, Simiyu yetu, HAMY-D, bungeni. Nadhani mmepata taarifa kwamba mzee wenu amekiri kwamba haiwezekani kukisambaratisha CHADEMA hivyo tafuteni namna mpya ya kufanya siasa lakini kwa mfumo huu wa siasa zenu uchwara mnakiangamiza Chama Cha Mapinduzi.[/QUOTE bungeni kala ban
Wasira kaiuwa wilaya yake ya Bunda kimaendeleo na sasa anawaza kuiuwa CHADEMA.....R.I.P WASIRA
Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.
Source Gazeti Jamuhuri