Wassira amtaka Dr. Slaa aache kuita wake za watu chumbani!

Laana ya kusaliti kanisa itamtafuna mpaka kaburini kwake na sasa njama zake wamekwisha zijua.Angekuwa china huyu padri msaliti angeshanyongwa

Awadh wiki hii ratiba yenu ya kuchoma makanisa inasemaje? Uamsho aka CUF mna matatizo sana.
 
Mzee alikuwa anamtafuna secretary wake na baada ya watu kugundua akamfukuza dada wa watu kazi na sasa yule dada anatapatapa na maisha pale mabibo mwisho.babu ni mbayaaaaaaaaa kwenye yale mambo yetu babu ni mbayaaaaaaaa

Na wewe amekupitia tayari? Aisifiaye mvua imemlowesha ati.
 
Wassira alimtenda akajitwali mutoto! Halafu mkuu itabidi tuongee fresh mbona ID yako inafanana na
Jina la babu yangu

Labda ndio mimi babu mwenyewe,lol! Ukishakula nyama ya mtu huwezi kuacha....wanamsema Slaa kama wao ni watu wasafi sana,lol!
 
ama kwel we awath n **** wa kutupa nyie ndo wasom wa std 7 tu, siasa umetoa wap? wakat siasa za std 7 zlikua za magamb 2
 
Mimi naona ni ofisini.........sijui ''chumbani'' anakokuongelea ''PET'' WASSIRA ni wapi?

Lilian-Wassira-na-ndugu-yake-Esther-ndani-ya-CHADEMA.jpg
Jamani hebu angalieni jinsi huyu binti anavyominya jicho lake. Hata mimi napata wasis wasi hapo
 
Kuna watu labda hamumfahamu vizuri Wassira, ni kwamba Wassira alipigika na maisha ile kisawasawa, sasa wakati JK ankwenda kuomba baraka kwa mama Maria Nyerere, Maria Nyerere alimwambia nakubali mwanangu uwe Rais ila usimuache Wassira anaadhirika.

Wengi hili hawalijui ila kwakuwa JF ni mkusanyiko wa watu wengi najuwa wapo watakaothibisha maneno haya, Wassira mpaka leo nina uhakika hawezi kukosa sugu kwenye bega lake la kulia maana baada ya kupigigika na maisha ilibidi awe mbeba mabegi ya mawakili ili na yeye apate pesa ya kula. kwahiyo sishangazwi na lolote kutoka kwa Wassira.

Nakubaliana na wewe mkuu Matola huyu mdingi kuna wakati alipigika wakati alipojaribu kufanya biashara ya samaki,ilikuwa ukipishana naye utafikiri uko feri, njaa mbaya sana, mwacheni ajipendekeze aliokotwa jalalani.
 
Katika kile sasa kinachoonekana kuwa bifu kali kati ya hawa wanasiasa waili wa umri mkubwa, Waziri Wassira amemtaka Dr Slaa awe mwangalifu katka kutoa kadi za chama chake chumbani bila wadau wengine kuwapo!!

Kulingana na gazeti la Majira leo tarehe 1/20/2012, Wassira alikuwa akijibu mapigo kwa jina lake kutumiwa na Dr Slaa katika kuwapa kadi wanachama waili wenye jina la Wassira.
Hata hivyo Nd Wassira alisema ndugu zake hao ambao ni watoto wa kaka yake,Lilian na Ester Wassira wana haki ya kujiunga na chama chochote cha kisiasa.

Ni kinukuu gazeti la Majira la leo, lina sema:

" Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini Bunda,mkoani Mara, Bw Wassira alimshukia Dr Slaana kumtaka awe makini kuwaita wake za watu chumbanina kuwapa kadi bila maofisa wengine wa chama hicho kushuhudia tukio hilo."

Wassira aliendelea,

"Namtahadharisha Dkt Slaa kwani alichokifanya kinaweza kuleta mtafaruku katika ndoa za watu"

Wana bodi hili bifu sasa ni kali, lakini namii niliona lile jicho alilolikata yule binti mdogo mdogo kwenye TV, lilikaa kimahabuba, sijui pengine macho yangu.
Nawapongeza CDM kwa kupata wanchama wazuri hivyo.

Uhuru na Haki ya kuchagua ! Mzee Wassira atakuwa amepata hasira tu. Kwani Dr Slaa atawafanya nini hao wadada mbele ya waandishi wa habari wa ITV nk ? Kwanza kwa mila na desturi zetu wassira anawatukana binti zake. Edit Tarehe mkuu, huo mwezi ni double ! Japo tumezingatia contents.
 
Labda ndio mimi babu mwenyewe,lol! Ukishakula nyama ya mtu huwezi kuacha....wanamsema Slaa kama wao ni watu wasafi sana,lol!

Mkuu babu yangu alishatangulia mbele ya haki 6years ago....umefufuka?:A S 39:
 
malumbano kama hayo ktk siasa ni kitu cha kawaida, wasira ni mkongwe ktk siasa fitna anaziweza sana, slaa akae chonjo!
 

Kwa hiyo Dr Slaa aliwaita ITV waje kuhushudia anayoongea na wanawake 'chumbani?. Kwenye picha tunaona camera ya ITV, nyuma ya huyo dada kuna kiti cha ofisi (office chair) au Wassira hakuna vyote hivyo?

Kauli ya Wassira inaonesha ni jinsi gani anawadharau wanawake, kwamba hawana utashi wa kuamua jambo, wapo wapo tu wanapelekeshwa ili mradi! Kauli ya hovyo sana pengine ndio sababu wanawake wa CCM wanaimba 'wanawake wakiwezeshwa wanaweza'.
 
Mzee alikuwa anamtafuna secretary wake na baada ya watu kugundua akamfukuza dada wa watu kazi na sasa yule dada anatapatapa na maisha pale mabibo mwisho.babu ni mbayaaaaaaaaa kwenye yale mambo yetu babu ni mbayaaaaaaaa

Mtasema mengi juu ya DR Slaa (docta wa Ukweli). Ama kweli mti wenye matunda mabivu ndio unaopigwa mawe!
 
Hili jizee Wasira huna alina lakuongea?lina kurupukatu.watoto wa wakaka yake niwatoto wake alafu ana wazalilisha kua dr kawaita chumbani.awaombe msamaa wanae.Miji zeemingine bwana imekosa busara kabisa.
 
hivi wasira angenyamaza kimya kungekuwa na tatizo?au ccm walitaka aeleze kuhusu hao watoto??nilifikiri umri ukisogea unakuwa na busara zaidi
 
Back
Top Bottom