Wassira amtaka Dr. Slaa aache kuita wake za watu chumbani!

Huyu Dovutwa nadhani akili yake anahitaji kupimwa na kwa wale wataalam wa Saikolojia, personality yake inaonesha kama ana-mtindio wa ubongo vile jamani, hayuko normal ati!! Nadhani hajui ni lipi anatakiwa kufanya katika siasa..Pumba producer
 
mimi naona wassira kalewa mapenzi ya mke wa mtu mama ndege insuarance binti wa tarime wa mzee mwihechi kulreee mara nilimsikia bwana mdogo heche akisema wassira ni janga la kitaifa kweli nimeamini
 
.............
Mtoto (hata kama ni wa mdogo wako) akikuumbua hadarani utamfanyeje zaidi ya kumkana...............

Kwa stail yako hii, ninapata munkari wa kuamini kuwa mtoto wako akijichafua mkono wake kwa uchafu wa "taka utumbo" hautasita kumkata mkono wake uliochafuka.
 
Kwa stail yako hii, ninapata munkari wa kuamini kuwa mtoto wako akijichafua mkono wake kwa uchafu wa "taka utumbo" hautasita kumkata mkono wake uliochafuka.

Mkuu sisi wengine tulisoma kiswahili kama somo, kukana na kukata ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
hivi bado wasira anajadilika? hivi ina maana hakukuwa na waandishi wa habari?nonesense
 
Kwa taarifa ya WanaJF, George Wassira alikuwa ni mmoja wa WanaCHADEMA wa kwanza na alichaguliwa Mwenyekiti Mkoa wa Mara.

George na mimi tulipata fursa ya kumtembelea Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, nilipokuwa Musoma nikieneza Chama; tukampelekea Katiba na Sera zetu nyumbani kwake Butiama. Nafurahi sana kwamba Lilian na Esther Wassira wamejiunga na M4C, kuimarisha ngome ya vijana wakombozi.
Tunashukuru kwa ufafanuzi wako mzee wetu
 
Back
Top Bottom