Wassira amchamba Lowassa kuhusu Shule za Kata

Wassira amchamba Lowassa kuhusu Shule za Kata

Mh.Wasira ameonesha kukerwa na propaganda zinazoenezwa na Lowasa na wapambe wake juu ya ujenzi wa shule za kata.Mwananchi limeripoti kuwa Wasira amekemea kuwa sera hiyo ilikuwa sera ya CCM mwaka 2005 na ni uongo kuwa ilikuwa wazo la Lowasa kama anavyodai.

My Take:Lowasa, umimi wenu utaliangamiza taifa

kwani lowasa alijenga yeye au alisaidia kusimamia wazo la chama likatekelezwa hao wakina membe na pinda wamewai kusimamia kitu kani kikatekelezwa kwa ufanisi
 
Wasira ni jasiri haogopi kusema ukweli,kama Nyeupe ni Nyeupe, hajawahi kuwa mnafiki.
Ndio maana Watanzania wanamhitaji awe Rais wao.

chuki uko sawa sana wasira ndo kiongoz pekee mwenyeuwezo wa kukemea jambo ambalo haliendi sawa kwa maslahi ya taifa Hususani ufisadi bila kupepesa macho
 
Wassira na Lowassa hawana tofauti yoyote wote ni majambazi kinachowafanya waonekane kuwa wako tofauti ni kwamba mmoja ni mpigaji mwingine ni mbeba mizigo wanapokuwa mstari wa mbele.

Ndio maana Wassira kang'ang'ana na CCM wakati anajua kabisa kuwa chama hicho kina mbwa mwitu kibao.
 
chuki uko sawa sana wasira ndo kiongoz pekee mwenyeuwezo wa kukemea jambo ambalo haliendi sawa kwa maslahi ya taifa Hususani ufisadi bila kupepesa macho

Huwezi ukawa katikati ya mbwa mwitu wakali halafu usiwe mbwa mwitu,kinachotofautiana ni ulaji tu.
 
Wassira na Lowassa hawana tofauti yoyote wote ni majambazi kinachowafanya waonekane kuwa wako tofauti ni kwamba mmoja ni mpigaji mwingine ni mbeba mizigo wanapokuwa mstari wa mbele.

Ndio maana Wassira kang'ang'ana na CCM wakati anajua kabisa kuwa chama hicho kina mbwa mwitu kibao.
Wasira hajawahi kuhusishwa au kutuhumiwa kwa ufisadi. Ni kiongozi safi na mwenye uwezo Wa kukemea Rushwa kwasababu hana nasaba nayo.
 
Wasira hajawahi kuhusishwa au kutuhumiwa kwa ufisadi. Ni kiongozi safi na mwenye uwezo Wa kukemea Rushwa kwasababu hana nasaba nayo.

Unamaana kuwa Wassira ana kemea rushwa inayotolewa na kupokelewa na wenzake,isipokuwa ana shindwa kukemea rushwa anayoitoa mwenyewe ndiyo maana alivuliwa ubunge baada ya kubainika kuwa alitumia rushwa kuupata.
 
baada ya kumfuatilia kwa karibu nimegundua wassira pia ni miongoni mwa majiniasi wachache wa kisiasa hapa nchini.
anasema kile anachokiamini ingawa sio tiketi ya kuwa mkuu wa nchi bali anafaa kuwa mshauri wa karibu wa kisiasa wa kiongozi wa chi.

ana akili kubwa. Ila Magufuli akiwa shaped na refined vizuri na kuzungukwa na watu sahihi. kwa maoni yangu Miaka mitano inamtosha kutupa dira iliyopotea na kuweka misingi imara kwa tanzania ninayoiona katika ndoto.

we need someone who can translate political promises into tangible realities. Kwa maoni yangu tanzania nzima huyu jamaa japo kwa kupapasa ameonyesha practically bila kuwa na nia yoyote ya kujipendekeza kisiasa kwa wananchi kuwa anakitu katika bongo yake.

Mpaka hivi sasa ni mshauri wa mkuu wa nchi lakini mambo yanaenda mrama karibu kila sekta iwe ni mfumko wa bei,migomo kila kona,matumizi yasiyoendana na bajeti nk
 
Bill Gate tumefurahi kukuona humu, kumbe na wewe una akaunti JF? Haya ngoja tukujuze bosi.
Huyo ndio Rais Mtarajiwa ambaye atadhibiti mianya ya Rushwa na Ufisadi, yeye ni Mwadilifu mwenye msimamo.
Mabepali matapeli kama wewe kaeni tako moja maana mwisho wenu ni huu.
www.stephenwasira.co.tz
Utamjua tuu.

Hahahahaaaaa kumbe Ni Yule sokwe!
 
Mh.Wasira ameonesha kukerwa na propaganda zinazoenezwa na Lowasa na wapambe wake juu ya ujenzi wa shule za kata.Mwananchi limeripoti kuwa Wasira amekemea kuwa sera hiyo ilikuwa sera ya CCM mwaka 2005 na ni uongo kuwa ilikuwa wazo la Lowasa kama anavyodai.

My Take:Lowasa, umimi wenu utaliangamiza taifa

Wasira atakumbukwa kwa lipi? Zaidi ya style yake ya Koti ile..
 
Mods bana,sasa mbona jina la Zito mmelitoa kwenye thread,pale mwisho kwamba Lowasa na Zito waache "umimi".kwa Lowasa ndiyo'kwa Zito dhambi,daah
 
Hivi Wasira si yuko kwenye kambi ya friends of ENL? Yani vioja vya mwaka huu sijui tutafika wapi. People are no longer doing politics but scrambling.
 
Wakuu,
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Hili suala la shule za kata Lowassa anahusika mno kuliko Wasira anavyotaka kuonyesha.

Ebu angalia utafiti huu wa Haki Elimu

In terms of recent trends in policy implementation, PEDP and SEDP have dramatically expanded access to primary and secondary education. At primary level, the Gross Enrollment Rate increased from 78 percent to 112 percent between 2000 and 2006.31 Actual enrollment grew by over 60 percent, up from 4.4 million in 2000 to well over 7 million in 2006.32 Expansions in access to secondary education have been even more dramatic. For example, 401,011 students were enrolled in the first year of secondary school in 2007, up from 148,412 just two years earlier. These numbers far exceeded SEDP projections and likely resulted from the impact of two related directives issued by former Prime Minister Edward Lowassa, namely to build a secondary school in each ward and to enroll 75 percent of those who pass the primary education examinations.

http://internationalbudget.org/wp-content/uploads/HakiElimu-Case-Study.pdf
 
Wasira ni jasiri haogopi kusema ukweli,kama Nyeupe ni Nyeupe, hajawahi kuwa mnafiki.
Ndio maana Watanzania wanamhitaji awe Rais wao.

kipimo cha msema ukweli sisi kina gogo la shamba tunakipima kwa kuangalia alisema nini kwenye wizi wa Escrow je unakumbukumbu yeyote ya kutuambia kwamba, Wasira alisema nini
 
Jibu unaweza kulipata hapa: http://internationalbudget.org/wp-content/uploads/HakiElimu-Case-Study.pdf
In terms of recent trends in policy implementation, PEDP and SEDP have dramatically expanded access to primary and secondary education. At primary level, the Gross Enrollment Rate increased from 78 percent to 112 percent between 2000 and 2006.31 Actual enrollment grew by over 60 percent, up from 4.4 million in 2000 to well over 7 million in 2006.32 Expansions in access to secondary education have been even more dramatic. For example, 401,011 students were enrolled in the first year of secondary school in 2007, up from 148,412 just two years earlier. These numbers far exceeded SEDP projections and likely resulted from the impact of two related directives issued by former Prime Minister Edward Lowassa, namely to build a secondary school in each ward and to enroll 75 percent of those who pass the primary education examinations.

Mh.Wasira ameonesha kukerwa na propaganda zinazoenezwa na Lowasa na wapambe wake juu ya ujenzi wa shule za kata.Mwananchi limeripoti kuwa Wasira amekemea kuwa sera hiyo ilikuwa sera ya CCM mwaka 2005 na ni uongo kuwa ilikuwa wazo la Lowasa kama anavyodai.

My Take:Lowasa, umimi wenu utaliangamiza taifa
 
Wasira ni mwanasiasa makini hajawahi kuwa na sentensi zenye utata katika mambo muhimu.
Isije ikawa Mwandishi kamnukuu vibaya akaandika kwa nia ya kuwachonganisha.
Inajulikana sasa ndani ya CCM mjadala mkubwa ni Wasira na Lowasa. Mmoja kati yao ndio Rais.
Chadema itakuja ikifika 2014. Sentensi hii ni ya wassira 2013. Je haina utata?
 
Mh.Wasira ameonesha kukerwa na propaganda zinazoenezwa na Lowasa na wapambe wake juu ya ujenzi wa shule za kata.Mwananchi limeripoti kuwa Wasira amekemea kuwa sera hiyo ilikuwa sera ya CCM mwaka 2005 na ni uongo kuwa ilikuwa wazo la Lowasa kama anavyodai. My Take:Lowasa, umimi wenu utaliangamiza taifa
Si wamalizane taratibu kidogo...
 
Kwa hili Wassira namuunga nkono 100%,...Lowassa anajipa promo kwa shule za kata as if alijenga kwa hela zake za mfukoni!

Nyambafu???
 
Back
Top Bottom