ditto de great3
New Member
- May 3, 2015
- 4
- 0
wasirA?????DUUH
Mbona Kikwete pamoja na kuwa mwanajeshi na kukagua gwaride miaka kumi juzi kakosea???
Acha akili za kushikwa. Wasira yuko makini sana, huwezi kumlinganisha na hawa vilaza wengine.
Ana Afya njema.
Yuko Fit.
Ana akili nyingi.
We endelea kuimba ngojera za umitashumita.
Unaweza kunionyesha kwenye maandiko yako ni wapi Wasira amchamba Lowassa?Mh.Wasira ameonesha kukerwa na propaganda zinazoenezwa na Lowasa na wapambe wake juu ya ujenzi wa shule za kata.Mwananchi limeripoti kuwa Wasira amekemea kuwa sera hiyo ilikuwa sera ya CCM mwaka 2005 na ni uongo kuwa ilikuwa wazo la Lowasa kama anavyodai.
My Take:Lowasa, umimi wenu utaliangamiza taifa
Mbona Kikwete pamoja na kuwa mwanajeshi na kukagua gwaride miaka kumi juzi kakosea???
Acha akili za kushikwa. Wasira yuko makini sana, huwezi kumlinganisha na hawa vilaza wengine.
Ana Afya njema.
Yuko Fit.
Ana akili nyingi.
We endelea kuimba ngojera za umitashumita.
Kwanini asianze kugombea kule gombe ?Wasira ni jasiri haogopi kusema ukweli,kama Nyeupe ni Nyeupe, hajawahi kuwa mnafiki.
Ndio maana Watanzania wanamhitaji awe Rais wao.
Nyemelea kwenye saburi lako utaliona hilo andikoUnaweza kunionyesha kwenye maandiko yako ni wapi Wasira amchamba Lowassa?
Wasira ni jasiri haogopi kusema ukweli,kama Nyeupe ni Nyeupe, hajawahi kuwa mnafiki.
Ndio maana Watanzania wanamhitaji awe Rais wao.
Wasira ni mwanasiasa makini hajawahi kuwa na sentensi zenye utata katika mambo muhimu.
Isije ikawa Mwandishi kamnukuu vibaya akaandika kwa nia ya kuwachonganisha.
Inajulikana sasa ndani ya CCM mjadala mkubwa ni Wasira na Lowasa. Mmoja kati yao ndio Rais.
Kikwete alikuwa na mawazo ni Gwaride na pili kutoka mwisho kabisa
Viti Maluum,na yule mtu anaekumbuka shuka kushakucha..Wasira ndo nani?ni mkuu wa mkoa au?nijuzeni jamani
Nisichoelewa kutoke kwako Uchaguzi ni kitu kimoja tu...inakuwaje uandike maneno Mabepali na matapeli katika sentensi moja? Nitaelewa kama unashindwa kutofautisha L na R kwa maana kuwa kuna watu kwenye L wanaweka R na kwenye R wanaweka L lakini hii yako ni kiboko, hakika umeniacha hoi!Bill Gate tumefurahi kukuona humu, kumbe na wewe una akaunti JF? Haya ngoja tukujuze bosi.
Huyo ndio Rais Mtarajiwa ambaye atadhibiti mianya ya Rushwa na Ufisadi, yeye ni Mwadilifu mwenye msimamo.
Mabepali matapeli kama wewe kaeni tako moja maana mwisho wenu ni huu.
Tovuti rasmi ya Stephen M. Wasira
Utamjua tuu.
watanzania wangapi?labda ww nafamilia yako mi simo.Wasira ni jasiri haogopi kusema ukweli,kama Nyeupe ni Nyeupe, hajawahi kuwa mnafiki.
Ndio maana Watanzania wanamhitaji awe Rais wao.
giza limekujaa,huelewi nini sasaUnaweza kunionyesha kwenye maandiko yako ni wapi Wasira amchamba Lowassa?
Kwani hijaelewa nini mkuu.Nisichoelewa kutoke kwako Uchaguzi ni kitu kimoja tu...inakuwaje uandike maneno Mabepali na matapeli katika sentensi moja? Nitaelewa kama unashindwa kutofautisha L na R kwa maana kuwa kuna watu kwenye L wanaweka R na kwenye R wanaweka L lakini hii yako ni kiboko, hakika umeniacha hoi!
Wewe ni mchonganishi tu, huna lolote.giza limekujaa,huelewi nini sasa
Hivi nani katuroga jamani? Hapa tunajadili shule za kata na Lowasa au urais wa huyo mnyamapori?Wasira ni jasiri haogopi kusema ukweli,kama Nyeupe ni Nyeupe, hajawahi kuwa mnafiki.
Ndio maana Watanzania wanamhitaji awe Rais wao.
Wasira ni jasiri haogopi kusema ukweli,kama Nyeupe ni Nyeupe, hajawahi kuwa mnafiki.
Ndio maana Watanzania wanamhitaji awe Rais wao.
Kweli Wasira awe Raisi, si atasinzia akiwa anakagua Gwaride