MAN FROM PAWAGA
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 248
- 23
Siyo kweli..... Kakanusha na kusema mwandishi kamlisha meneno
Kiukweli Mh Wasira hawezi kufanya jambo hilo,mimi mwenyewe nakubali mwandishi kazingua akijua kuwa hiyo stori itampa ulaji kwa kutaja jina la Mh Wasira.......waandishi wetu wapunguze ukanjanja.