Wasomi wahoji ububu wa UKAWA bungeni

Wasomi wahoji ububu wa UKAWA bungeni

Jibu swali wacha kumbwelambwela hapa jamvini, malipo ya lekadutigite yalikuwa ni malipo halali?
Mahesabu ya mapato na matumizi mnapeleka lini yakakaguliwe na CAG? Maana Fisadi mnaye huko
 
Wasomi huyo Dr, Bana ni msomi au mchumia Tumbo hivi kama una akili timamu unaweza kubali bunge lisioneshwe live, then ukakubali uzinduzi wa daraja ukaoneshwa live na daraja linawahusu wa Dar tu, sio watanzania wote, bunge ni la watanzania wote
Tatizo lako wewe siyo msomi kama huyo Bana, ila kwa hii hoja yako na ungekuwa msomi kama Bana basi ungekuwa mchumia tumbo zaidi yake.
 
Mahesabu ya mapato na matumizi mnapeleka lini yakakaguliwe na CAG? Maana Fisadi mnaye huko
Jibu swali kwanza je malipo ya lekadutigite yalikuwa ni malipo halali?
 
Naona umeamua kukimbia swali limekwa gumu siyo?
Nyie wenye wabunge wengi kama taa za disco, mnashindwa kupeleka mahesabu yenu kwa CAG......kisha mnataka kutawala hii nji..........mnapeleka lini?
 
Nyie wenye wabunge wengi kama taa za disco, mnashindwa kupeleka mahesabu yenu kwa CAG......kisha mnataka kutawala hii nji..........mnapeleka lini?
Malipo ya lekadutigite yalikuwa ni malipo halali?
 
Mi nashangaa tu kwa nini wameamua kutunyima bunge ili hali kuna watu tumewachagua inabidi tuwapime uwezo wao wa kupresenti, only in tz.
 
ila ishu ya kuingia bungeni na kuamua kua bubu, zaidi ya kwamba kuna posho inafuatwa mle inaweza kukosa maelezo mengine yanayoingia akilin zaidi ya hayo!!
 
Back
Top Bottom