Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,316
Vipi hakuzungumzia malipo ya lekadutigite?Stick to the topic.....tulia ujibu hoja kimantiki, je CAG amezungumzia ufisadi NSSF?
Vipi hakuzungumzia malipo ya lekadutigite?Stick to the topic.....tulia ujibu hoja kimantiki, je CAG amezungumzia ufisadi NSSF?
Mtu akikuambia jambo la kijinga na ukamwamini atakudharau- by JK Nyerere.
CCM imewaona wajinga sana baada ya kuwalisha uongo nanyi kama mazuzu mkaamini. UKAWA hawajapinga kununua dawati au dawa, wao wanazungumzia taratibu kufuatwa kama sheria inavyosema tatizo likowapi?
Mbona mnaruhusu CCM iwadharau hivyo kwa kusadiki ujinga?
Tafuta hata wa bunge wa CCM wenye kujielewa watakufahamisha kuwa kuna makosa ila kwa vile hawaruhusiwi na chama chao kukosoa wanaumia moyoni tuu na kujiona watumwa
Kwa hoja yako, unawaclear Chenge, Werema, Muhongo, Tibaijuka na the likes......hawakufikishwa mahakamani.....na umekuwa ukiwaita mafisadiNani ana thibitisha makosa ikiwemo wizi,ufisadi?
Wewe ni mropokaji mashuhuri.....Dr Mashinji anataka kuondoa wanachama wa aina yako ufipaniVipi hakuzungumzia malipo ya lekadutigite?
Leo hii ndio nimeona kuwa uwezo wako wa kufikiri na kugundua mitego ni mdogo sana,hujui kuwa nimekutega?nashukuru sana kwa kututhibitishia hao mafisadi kutoka ndani ya ccmKwa hoja yako, unawaclear Chenge, Werema, Muhongo, Tibaijuka na the likes......hawakufikishwa mahakamani.....na umekuwa ukiwaita mafisadi
Jibu swali kwanza hayo malipo ya lekadutigite hayakuzungumziwa?Wewe ni mropokaji mashuhuri.....Dr Mashinji anataka kuondoa wanachama wa aina yako ufipani
Hata mie nimekutega!!! Je wamepelekwa mahakamani?Leo hii ndio nimeona kuwa uwezo wako wa kufikiri na kugundua mitego ni mdogo sana,hujui kuwa nimekutega?nashukuru sana kwa kututhibitishia hao mafisadi kutoka ndani ya ccm
According to CAG.....NSSF is clean....Jibu swali kwanza hayo malipo ya lekadutigite hayakuzungumziwa?
Jibu maswali kwanza wewe muha!!!Hata mie nimekutega!!! Je wamepelekwa mahakamani?
Tunaka kujua malipo ya lekadutigiteAccording to CAG.....NSSF is clean....
Wamepelekwa mahakamani kuthibitishiwa makosa yao.....Jibu maswali kwanza wewe muha!!!
Lekadutigite ililipwa malipo ya nini?Wamepelekwa mahakamani kuthibitishiwa makosa yao.....
No embezzlement at all......labda uulizie mahesabu ya CDM maana hata CAG anayaulizia.....na hamna wa kuwatonya.Tunaka kujua malipo ya lekadutigite
Tunataka kujua malipo ya lekadutigite yalikuwa ni malipo halali?No embezzlement at all......labda uulizie mahesabu ya CDM maana hata CAG anayaulizia.....na hamna wa kuwatonya.
Don't shy away, those ministers and officers have they been sued at court?Lekadutigite ililipwa malipo ya nini?
Malipo ya lekadutigite yalikuwa ni malipo halali?Don't shy away, those ministers and officers have they been sued at court?
According to CAG....NSSF is clean.....tunasubiria ropo ropo nyingineTunataka kujua malipo ya lekadutigite yalikuwa ni malipo halali?
CAG anataka mahesabu ya CDM ya fisadi LowassaMalipo ya lekadutigite yalikuwa ni malipo halali?
Jibu swali wacha kumbwelambwela hapa jamvini, malipo ya lekadutigite yalikuwa ni malipo halali?According to CAG....NSSF is clean.....tunasubiria ropo ropo nyingine