Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
Unashangaa degree holder kushindwa kuongea au kuandika kiinglish wakati huo tuna miwatu ina Phd/degree tatu lakini kutamka kaneno kadogo kama Entrepreneur tu inakuwa mtihani.
Kama vp hebu toa mifano kile ambacho hao waalimu walitakiwa kufanya.Tatizo ni waalimu mkuu. Maana waalimu ktk ufundishaji wao hawawezi kwenda mbali zaidi maana nao hawana msingi mzuri wa lugha na wanachofanya ni kufundisha kanuni zilizopo ktk vitabu tu na si kwenda mbali zaidi nje ya kanuni na mafanunuzi kutoka ktk vitabu.
kwani china wanasoma kwa kiingereza? China elimu yao yote wanasoma kwa kichina hiki kiingereza ni cha kujifunza tu ukubwani. Sisi huku tunajifunza kiingereza toka shule ya msingi hadi chuo kikuu lakini bado kuandika na kuongea inakuwa shughuli lakini mchina anaweza kujifunza kiingereza ukubwani na akajua kuongea na kuandika vizuri tu.huu ni uongo mbona wachina hawajui kiingereza lakini wana uwezo
Ila hata hizo nchi ambazo hawatumii kiingereza kwenye masomo bado wana somo la english na nia waweze kujua kiingereza,sasa kama hawaelewi utasemaje si ajabu? maana kuna watu kiingereza wamejifunzia kwenye hizi english course na sasa wanakiongea.Hao sidhani kama wanasoma kwa kutumia English.
That's why hawawezi kumudu English hivyo hakuna cha ajabu.
Cha ajabu ni yule anayesoma kwa kutumia English for 6 or 10 years lakini anatoka mweupe.
Hapo lazima kuwe na tatizo linalohitaji solution na sio kutafuta justifications ili kujipa faraja.
Na hakuna tatizo kujua lugha zaidi ya moja maybe kama una plan za kuishi Tanzania milele.
Unataka kusema huko China hakuna somo la english mashuleni?kwani china wanasoma kwa kiingereza? China elimu yao yote wanasoma kwa kichina hiki kiingereza ni cha kujifunza tu ukubwani. Sisi huku tunajifunza kiingereza toka shule ya msingi hadi chuo kikuu lakini bado kuandika na kuongea inakuwa shughuli lakini mchina anaweza kujifunza kiingereza ukubwani na akajua kuongea na kuandika vizuri tu.
Kuna kitu una kosa mkuu. Nafikiri ungefanya utafiti wa lugha kwanza nazani usingeweza kusema hivi mkuu.... Biblia ya kiingereza ni tamu sn kuliko na inaeleweka zaidi kuliko ya kiswahiliNa siku hizi wameanza kusoma biblia za kiingereza... Hakika utumwa tulionao bado tuna safari ndefu sana ya kujikomboa
Sema alitumia njia ya kukalili ndio njia inayotumika mashule maana hiyo unayosema Written inahitaji uwe na uelewa mkubwa ambao ni Sawa na spoken.... Hakuna tofauti ktk written na spoken. Kwafano unakuta swali la kujieleza na kutolea mafafanuzi na si la kuchagua. Yaani swali linakutaka utoe maelezo. Hapo kwa kanuni yako ya written ktk maana yako uliyokusudia lazima ufeli. Ndio maana wengi wanafanya vzr ktk maswali ya kuchagua kwasbbu wanasoma kwa kukalili na si kuelewa kitu kwa mapana ma ndio sbbu ktk maswali ya kutoa maelezo wanachemka....Nitakujibu kitaaluma na si kishabiki.
Lugha huwasilishwa na namna mbili written na spoken. Mara nyingi mashuleni tunatumia written na si spoken.
Sasa basi spoken language inahitaji practice ya kutosha kuanzia matamshi n.k lakini pia unapozungumza huna muda wa kufikiri ndo maana mara nyingi tunashindwa.
Sasa huyo Ph. D holder huenda alitumia zaidi written na si spoken
Nimeshatolea maelezo huko juu mkuuKama vp hebu toa mifano kile ambacho hao waalimu walitakiwa kufanya.
Labda useme Kenya lkn sio Uganda. Uganda hawajui kiingereza kabisa bora ata ya watz....Unafikiri kwa nini nchi kama Kenya, uganda, Zambia wapo fluent? Kwamba wao wana akili za kujua sana kiingereza kuliko sisi? No, ni kwamba wao tangu shule za awali (elementary school) wanasoma kwa kiingereza. Hivyo wanaizoea lugha at an early age.
Ata hivo China wameshindwa kutawala dunia au kua na usemi mkuu ktk dunia kwasbbu wameshindwa kupenyeza lugha yao ktk dunia. Kwahiyo wameshindwa kupenyeza tamaduni zao duniani. Maana lugha ni tamaduni ya jamii Fulanikwani china wanasoma kwa kiingereza? China elimu yao yote wanasoma kwa kichina hiki kiingereza ni cha kujifunza tu ukubwani. Sisi huku tunajifunza kiingereza toka shule ya msingi hadi chuo kikuu lakini bado kuandika na kuongea inakuwa shughuli lakini mchina anaweza kujifunza kiingereza ukubwani na akajua kuongea na kuandika vizuri tu.
Hujaelewa nilichoandika labda.Sema alitumia njia ya kukalili ndio njia inayotumika mashule maana hiyo unayosema Written inahitaji uwe na uelewa mkubwa ambao ni Sawa na spoken.... Hakuna tofauti ktk written na spoken. Kwafano unakuta swali la kujieleza na kutolea mafafanuzi na si la kuchagua. Yaani swali linakutaka utoe maelezo. Hapo kwa kanuni yako ya written ktk maana yako uliyokusudia lazima ufeli. Ndio maana wengi wanafanya vzr ktk maswali ya kuchagua kwasbbu wanasoma kwa kukalili na si kuelewa kitu kwa mapana ma ndio sbbu ktk maswali ya kutoa maelezo wanachemka....
Hapa umemaliza mkuuUnafikiri kwa nini nchi kama Kenya, uganda, Zambia wapo fluent? Kwamba wao wana akili za kujua sana kiingereza kuliko sisi? No, ni kwamba wao tangu shule za awali (elementary school) wanasoma kwa kiingereza. Hivyo wanaizoea lugha at an early age.
Unapoongea na kuandika lazima ufikirie mkuu. Na kusema la ukweli elimu zetu sisi ni za kukalili tu na si za kuelewa kitu kimapana zaidi.Hujaelewa nilichoandika labda.
Kiingereza unapoongea na unavyoandika ni tofauti, unapokuwa unaandika unaweza pata muda wa kufiliria neno sahihi la kuweka katika andiko lako.
Lakin uongeapo huna muda wa kufikiri, na kwakuwa lugha ni ngeni basi inakuwa shida.
Mkuu kiingereza kukielewa na kuzungumza ni vitu vilwili tofauti,
Unaposema kukariri, mkuu huwezi kukariri essays hata siku moja, labda definitions kadhaa.
Ukiongea lugha ambayo umeizoea let's say kiswahili huna haja ya kuwaza maneno ya kuchomeka ili mazungumzo yaendelee.Unapoongea na kuandika lazima ufikirie mkuu. Na kusema la ukweli elimu zetu sisi ni za kukalili tu na si za kuelewa kitu kimapana zaidi.
sijaenda shule, kwani vipi au nimekuchanganya hujanielewa nini
Kwa bongo ni kawaida,mfumo wetu wa elimu haufundishi kiingereza vzr,ukimtoa Mkapa,nitajie kiongozi gani anaweza kuongea kizungu kilichonyooka,Hata Mkapa Elimu ya juu,kasoma Makerere university Uganda,Inakuwaje msomi ama graduate wa chuo kikuu aliespend miaka kama minne chuo kikuu na ana degree, masomo yake yote ni kiingereza tupu anafanikiwa kugraduate, lakini ukimwongelesha kiingereza haelewi
Akiamua yeye sasa Hata kuandika ujumbe kwa kiingereza anashusha broken ya hatari hadI unashangaa? Wengine wamefanikiwa kupata kazi kabisa unakuta bonge la engineer from ardhi university English mbovu mkichat yuko kwenye bonge la kampuni
Mbaya zaidi graduate kamaliza chuo few days anaambiwa andika barua ya kuomba internship anaweweseka..Mara nipe google..maelezo yake binafsi yanamshinda kujieleza kwa kiingereza anatafuta CV za wengine akopi.sasa najiuliza huyu mtu kafanikiwa kumaliza successful report zake aliandikaje?kama kiingereza cha kuandika anababaika presentation alihudhuriaje akapata marks
Research zake?
Au ndo wale wa kukariri? Sawa basi hata kama kukariri unashindwa kujifunzia hapo mpangilio wa grammar.
Boss mzima ananitext "is you coming or no"
Kiingereza nacho ni kipaji?
Kama imekukela kufa π€£ mwache boss ajimwageInakuwaje msomi ama graduate wa chuo kikuu aliespend miaka kama minne chuo kikuu na ana degree, masomo yake yote ni kiingereza tupu anafanikiwa kugraduate, lakini ukimwongelesha kiingereza haelewi
Akiamua yeye sasa Hata kuandika ujumbe kwa kiingereza anashusha broken ya hatari hadI unashangaa? Wengine wamefanikiwa kupata kazi kabisa unakuta bonge la engineer from ardhi university English mbovu mkichat yuko kwenye bonge la kampuni
Mbaya zaidi graduate kamaliza chuo few days anaambiwa andika barua ya kuomba internship anaweweseka..Mara nipe google..maelezo yake binafsi yanamshinda kujieleza kwa kiingereza anatafuta CV za wengine akopi.sasa najiuliza huyu mtu kafanikiwa kumaliza successful report zake aliandikaje?kama kiingereza cha kuandika anababaika presentation alihudhuriaje akapata marks
Research zake?
Au ndo wale wa kukariri? Sawa basi hata kama kukariri unashindwa kujifunzia hapo mpangilio wa grammar.
Boss mzima ananitext "is you coming or no"
Kiingereza nacho ni kipaji?