Wasomi mmemsikia Edward Lowassa?

Wasomi mmemsikia Edward Lowassa?

si wanaume wote ni watu sound sound wengine wanamaanisha.

mpumbavu ni yule anayeamini hili haliwezekani ila la 50mil kila kijiji linawezekana.

Tutampa kura kizembe pia.

Asiyetaka ikulu kwa nguvu hazunguki jukwaani jua kali kutoa mapovu watu wampe kura.

Msomi asiyeona logic kwenye ahadi hiyo,ni wakumbadilisha na twiga walioenda qatar warejee waendelee kuvuta utarii yeye akawe makumbusho kule.

ukitaka kumvua nguo anayegeuza madaraka dili,toa bure vyote anavyouzia watu🙂

wanapenda mteremko sababu hawaoni sababu ya kupanda mlima.

Anayenunua fikra za wenzie ni yule anayewahimiza watu ataleta mabadiriko wakati ccm ni ile ileO🙂O🙂???

Anhaa vp mkuu umetoka kuamka nn? Leta solid arguments na sio taarabu na nashndwa kujizuia kukuita lile jina alowaita uncle benja
 
Hivi wewe Eli79 ukimsikiliza Magufuli unatoka na nini?? ile mihemko ya kisiasa?? Kukurupuka kusema vitu asivyovijua? Au takwimu za punda na mbwa? Au jinsi anavyowananga mawaziri wenzake katika serikali??? ni nini hasa?

Anatoka na habari mpya ya kujua kuwa Ghaddaf alikuwa rais wa Kuwait
 
Last edited by a moderator:
Unadhani nchi kutajirika inakuja;
- Kwa kusamehewa mikopo
- Kubomolewa nyumba za nyasi ndani ya siku 100 na kujengewa na tofali.
- Kuondoa rushwa ndani ya siku 100 za utawala wa ENL
- Majiji ya Dar Ar na Mza kuwa na historia ya foleni ndani ya siku 100 za utawala wa ENL.

....Kweli nawaonea wivu wasomi kama nyie!!! Hakika nchi itasonga mbele!!!
Changa la macho na changamoto la kupambanua pumba na mchele kwa wananchi wote!!!!.. Inabidi tuwe na FACT CHECKS!.. ahadi/sera ipi ni kweli inatekelezeka na ipi ni pumba isiotekelezeka!
 
Unadhani nchi kutajirika inakuja;
- Kwa kusamehewa mikopo
- Kubomolewa nyumba za nyasi ndani ya siku 100 na kujengewa na tofali.
- Kuondoa rushwa ndani ya siku 100 za utawala wa ENL
- Majiji ya Dar Ar na Mza kuwa na historia ya foleni ndani ya siku 100 za utawala wa ENL.

....Kweli nawaonea wivu wasomi kama nyie!!! Hakika nchi itasonga mbele!!!
Ndo unatakiwa useme sasa hayo mambo ambayo we unaona yatatajirisha nchi
hizo nyumba za nyasi, rushwa na foleni za majiji si zipo kwenye serikali ya sisiem
tena sahivi umeme nao nadhani umeshika kazi kwenye list ya kero tulizonazo
tuonee wivu salama ni hivi tuanataka sisiem itoke madarakani
 
Kile kilio cha siku nyingi cha maumivu ya mkopo wa elimu ya juu kinakaribia kupatiwa jibu. Mgombea wa Urais wa CHADEMA/UKAWA Edward Lowassa ameahidi kuwasamehe wale wote waliokopeshwa na kodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB). Lowassa anamaanisha kuwa wanaodaiwa hawatalipa tena na itakuwa ni kama wamesomeshwa bure tu na Serikali yao.

Wakati huohuo, Lowassa anaendelea kusisitiza kuwa elimu ya chuo kikuu itakuwa bure. Wasomi wa wakati wa nyuma na wale wa sasa, mnataka nini tena? Lowassa, kutokana na ahadi zake za kiuchaguzi, anatamani kuona elimu inakuwa bure na hata wale waliokopeshwa wakijisikia kuwa wamesoma bure. Lengo kuu ni kutoa elimu ya bure na bora kwa maendeleo ya Tanzania yetu.

Mtampa kura wasomi wa Tanzania? Wale waliolipa hadi kumaliza mkopo, Serikali itawarudishia fedha zao? Tutege masikio tena kumsikia Lowassa atalisemeaje hili.

Asanteeeeee kura yetu anayo sasa hivi itacopiwa na govinda.. tujiandae
 
Daaaaaaaah! Kesho mapema namsafirisha dogo kwenda mbeya alipojiandikisha akampigie kura Mr edoo, Kama wachache wanaweza kuiba mapesa mengi kupitia, EPA, MEREMETA, TAN GOLD, ESCROW NA MA TEN % ZA KUTOSHA, Kwanini nisifurahie Nami kufaidi hata kidogo keki ya taifa langu?? Mungu ni mwema Sana
 
Kile kilio cha siku nyingi cha maumivu ya mkopo wa elimu ya juu kinakaribia kupatiwa jibu. Mgombea wa Urais wa CHADEMA/UKAWA Edward Lowassa ameahidi kuwasamehe wale wote waliokopeshwa na kodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB). Lowassa anamaanisha kuwa wanaodaiwa hawatalipa tena na itakuwa ni kama wamesomeshwa bure tu na Serikali yao.

Wakati huohuo, Lowassa anaendelea kusisitiza kuwa elimu ya chuo kikuu itakuwa bure. Wasomi wa wakati wa nyuma na wale wa sasa, mnataka nini tena? Lowassa, kutokana na ahadi zake za kiuchaguzi, anatamani kuona elimu inakuwa bure na hata wale waliokopeshwa wakijisikia kuwa wamesoma bure. Lengo kuu ni kutoa elimu ya bure na bora kwa maendeleo ya Tanzania yetu.

Mtampa kura wasomi wa Tanzania? Wale waliolipa hadi kumaliza mkopo, Serikali itawarudishia fedha zao? Tutege masikio tena kumsikia Lowassa atalisemeaje hili.

Kwa hakika "...changanya na za kwako..."

Hivi "Ahadi" zinao msingi wowote wa "ki-Sheria"? Kwamba mtu akiahidi kufanya jambo fulani, asipotekeleza anaweza "kushitakiwa mahakamani"?
 
Walouwa viwanda wengne mpo nao huko mnapga nao kelele za mabadliko. Salt vepeee grow up au ndo thinking is prohibited?

Mpasho ee, huez kunielewa coz nshakwambia thinking is prohibited ndo maana unaona mpasho kama ile mipasho yenu ya kumrudisha balal akishnda urais

Anhaa vp mkuu umetoka kuamka nn? Leta solid arguments na sio taarabu na nashndwa kujizuia kukuita lile jina alowaita uncle benja
Hizo argument zako wewe ziko wapi? Au kusema "thinking is prohibited" ndo umeargue
 
JF mpango mzima kama Lowasa! Nashukuru ndugu na jamaa zangu wote walijitambua mapema. Mabadiliko.....
 
watoto wa maskini wasio na ajira kufutiwa deni la mikopo ya elimu haiwezekani, ila kuiba billion 306 kutoka benki kuu inawezekana na twiga kupandishwa ndege inawezekana, million kumi kuwa hera ya mboga inawezekana.hii ndio tanzania ya upinzania uongo ila ya ccm ukweli
 
Namlaani Lowasa sana kuhusu shule za kata in their present form kwa kuwa yeye ndiye aliyekuwa msimamizi mkuu.Nimefurahi kwa hili la elimu ya juu,lakini nataka kusikia tamko kutoka kwake jinsi atakavyoziboresha.Mkakati huu uwe wa muda mfupi sana kwa kuwa watoto wetu wanazidi kuteseka kwa kutembea mwendo mrefu kila siku,kupewa mimba za utotoni na kupewa elimu duni.Nataka pia kusikia kutoka kwake jinsi atakavyozipatia shule hizi waalimu bora na nyumba bora za kuishi.Waalimu wa sasa sio waalimu, ni vijana tu wa mtaani na vijiweni.Wengi wanavuta bangi na kingereza hawajui kabisa.Ni aibu tupu.
Kile kilio cha siku nyingi cha maumivu ya mkopo wa elimu ya juu kinakaribia kupatiwa jibu. Mgombea wa Urais wa CHADEMA/UKAWA Edward Lowassa ameahidi kuwasamehe wale wote waliokopeshwa na kodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB). Lowassa anamaanisha kuwa wanaodaiwa hawatalipa tena na itakuwa ni kama wamesomeshwa bure tu na Serikali yao.

Wakati huohuo, Lowassa anaendelea kusisitiza kuwa elimu ya chuo kikuu itakuwa bure. Wasomi wa wakati wa nyuma na wale wa sasa, mnataka nini tena? Lowassa, kutokana na ahadi zake za kiuchaguzi, anatamani kuona elimu inakuwa bure na hata wale waliokopeshwa wakijisikia kuwa wamesoma bure. Lengo kuu ni kutoa elimu ya bure na bora kwa maendeleo ya Tanzania yetu.

Mtampa kura wasomi wa Tanzania? Wale waliolipa hadi kumaliza mkopo, Serikali itawarudishia fedha zao? Tutege masikio tena kumsikia Lowassa atalisemeaje hili.
 
kwa hili nakuunga mkono hasa sisi watoto wa maskin tuliosomeshwa na ndugu, usipounga hili la elimu bure hasa chuo kikuu na wadaiwa kufutiwa mikopo yao una matatizao
 
Tanzania haina uwezo wa kutoa elimu bure! Huko ni kujidanganya tu! wasitake kuturudisha kule tulikotoka, shule yenye watoto 500 wanaohitimu wanafaulu watoto 30!
Hayo n mambo ya ujima tushapita huko, tuko kwenye karne ya nchi inavyuo vikuu 50, graduate 200,000 -300,000 kwa mwaka utawapaje elimu bora tena ya bure
Siasa ya ujamaa ishashindwa dunian kote, kwa ss mwenye uwezo asome shule nzuri ya private, huna uwezo komaa uende shule nzuri ya serikali ukishindwa uende shule za kawaida
 
Akiwahutubia mamia wa Mji wa same, rais lowasa amewataka Tanesco kushugulikia tatizo la umeme haraka Iwezekanavyo lasivyo atawafuta kazi, safi sana mh rais wetu, udhilisha ww ni tofauti kabsa na mashetan ya lumumba
 
Alishawafuta kazi dawasco na kuvunja mkataba chap,wanamkumbuka bado na kumfahamu,habahatishi huyo jamaa,mimi namkubali na kosa wanalotaka kulifanya CCM ni kuaminisha watu kwamba bila wao hakuna TZ watajamba tu
 
Back
Top Bottom