SHABANIMAVOCHA
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 320
- 65
Ni wakat wa mabadiliko nje ya ccm
Huyu ndiye aina ya Rais aliyekuwa anahitajika ktk nchi hii toka miaka 20 iliyopita,ungekuta leo hii haya tunayoyaona ni historia,Lowasa ni mpango wa Mungu tusifanye makosa watanzania wenzangu
mimi hapa ni kama 10 million kwa kupiga kura tu siwezi kufanya kosa ,ila usiende mwenyewe nenda na ndugu zako ili uhakika uwepo maanaNitatangaza nimesamehewa Deni. La jumla ya Tsh 8,000,000/= tarehe 25 October asubuhi kabisa kwa kumpa KURA YANGU LOWASA.
CCM wasitudanganye eti lowasa hawezi fanya wakati wanapiga mabilioni kila siku, UTAJIRI wa riz one waweza somesha Darasa la kwanza mpk la nne kwa miaka mi5, ni wakati wakurpoza machungu kwa KODI zetu wanazoficha Ulaya nakuita VIJISENTI.
LOWASA NEEMA INAKUJA TANZANIA.
mimi hapa ni kama 10 million kwa kupiga kura tu siwezi kufanya kosa ,ila usiende mwenyewe nenda na ndugu zako ili uhakika uwepoNitatangaza nimesamehewa Deni. La jumla ya Tsh 8,000,000/= tarehe 25 October asubuhi kabisa kwa kumpa KURA YANGU LOWASA.
CCM wasitudanganye eti lowasa hawezi fanya wakati wanapiga mabilioni kila siku, UTAJIRI wa riz one waweza somesha Darasa la kwanza mpk la nne kwa miaka mi5, ni wakati wakurpoza machungu kwa KODI zetu wanazoficha Ulaya nakuita VIJISENTI.
LOWASA NEEMA INAKUJA TANZANIA.
Mzee Mwanakijiji tunahitaji episode ya 3.
Pia huku nilipo watu wanaandamana walalamika kuwa dakika 10 hazitoshi...kila episode iwe na zaidi ya dakika 50