Wasomi mmemsikia Edward Lowassa?

Wasomi mmemsikia Edward Lowassa?

mhusika tubadilishie kichwa cha habari andika (wadaiwa wa mikopo ya chuo kikuu watangaziwa neema baada tu ya lowasa kushinda )
 
Hapa Magufuli atapata shida sana wakati yeye anasema elimu bure ni kuanzia darasa la kwanza hadi form four na ataboresha mikopo ya vyuo vikuu iwe inatoka kwa wakati EDO the great yeye anasema elimu bure ni kuanzia chekechea hadi chuo kikuu,hakuna cha mikopo wala nini,na wote mliokopa na mnaokopa hadi sasa akiingia ikulu mmesamehewa mikopo yenu Daaa!!!!hapa lazima mtu suruali imbane.Big up EL.Teh,teh,teh......
 
Huu ndio Ukombozi wa ukweli.1.Elimu 2.Elimu 3.Elimu!Ngoja nirudi shule sasa nikalambe jiwe la pili.
 
Yani hapo ni kama demu anapigishwa sound, nae kaingia kingi...ona wapumbavu wasiojielewa wanavyofurahi!!
 
ww ndio mpumbavu mwenyewe mnatudanganya mtatoa milion 50 kwa kila kijiji ili zifanye nini au mnawatafutia makada ulaji na mgombea wenu,ila za wanafunzi wasio na ajira kufutiwa mikopo yao haiwezekani acha porojo
 
Kile kilio cha siku nyingi cha maumivu ya mkopo wa elimu ya juu kinakaribia kupatiwa jibu. Mgombea wa Urais wa CHADEMA/UKAWA Edward Lowassa ameahidi kuwasamehe wale wote waliokopeshwa na kodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB). Lowassa anamaanisha kuwa wanaodaiwa hawatalipa tena na itakuwa ni kama wamesomeshwa bure tu na Serikali yao.

Wakati huohuo, Lowassa anaendelea kusisitiza kuwa elimu ya chuo kikuu itakuwa bure. Wasomi wa wakati wa nyuma na wale wa sasa, mnataka nini tena? Lowassa, kutokana na ahadi zake za kiuchaguzi, anatamani kuona elimu inakuwa bure na hata wale waliokopeshwa wakijisikia kuwa wamesoma bure. Lengo kuu ni kutoa elimu ya bure na bora kwa maendeleo ya Tanzania yetu.

Mtampa kura wasomi wa Tanzania? Wale waliolipa hadi kumaliza mkopo, Serikali itawarudishia fedha zao? Tutege masikio tena kumsikia Lowassa atalisemeaje hili.

poleni sana!! mmetongozwa kizembe mmekubali kizembe.

hayo ni maneno ya mwanasiasa anayetaka kwenda ikulu kwa nguvu zote.
 
lowassa anajua kabisa hapit ndo maana anaahidi vitu visivyokuwa hata na logic. Any way endeleen kujifariji na kama ni mnufaika wa loan board utarejesha tu fedha ili na mwanao pia anufaike. Polen sana mnaojiita wasomi wakati uwezo wenu kuchanganua mambo umezuiliwa na mahaba.
 
Hawa ndio wasomi wa Tanzania, wanatongozwa kwa pipi!!! We've got very few critical thinkers asee!!
 
Kazi ipo kwa kwel el79. Pia nimegundua hapa wanaojiita wasomi pia wanapenda sana mteremko a.k.a shumbwela ndo maana n rahc kununuliwa kifikra kama ambavyo lowasa anawafanyia sasa hv.
 
Kile kilio cha siku nyingi cha maumivu ya mkopo wa elimu ya juu kinakaribia kupatiwa jibu. Mgombea wa Urais wa CHADEMA/UKAWA Edward Lowassa ameahidi kuwasamehe wale wote waliokopeshwa na kodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB). Lowassa anamaanisha kuwa wanaodaiwa hawatalipa tena na itakuwa ni kama wamesomeshwa bure tu na Serikali yao.

Wakati huohuo, Lowassa anaendelea kusisitiza kuwa elimu ya chuo kikuu itakuwa bure. Wasomi wa wakati wa nyuma na wale wa sasa, mnataka nini tena? Lowassa, kutokana na ahadi zake za kiuchaguzi, anatamani kuona elimu inakuwa bure na hata wale waliokopeshwa wakijisikia kuwa wamesoma bure. Lengo kuu ni kutoa elimu ya bure na bora kwa maendeleo ya Tanzania yetu.

Mtampa kura wasomi wa Tanzania? Wale waliolipa hadi kumaliza mkopo, Serikali itawarudishia fedha zao? Tutege masikio tena kumsikia Lowassa atalisemeaje hili.

Nina Imani na Lowassa
 
Kazi ipo kwa kwel el79. Pia nimegundua hapa wanaojiita wasomi pia wanapenda sana mteremko a.k.a shumbwela ndo maana n rahc kununuliwa kifikra kama ambavyo lowasa anawafanyia sasa hv.

Hivo hivo ila kura kwa lowasa na UKAWA
 
Back
Top Bottom