Chama Cha Mapinduzi kimeendelea kujiimarisha na kujiongezea nguvu baada ya kuwashawishi wasomi 300 kanda ya mashariki kujiunga na chama hicho na kupokelewa kwa hadhi kubwa katika event iliyofanyika bagamoyo jana ambapo mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM wilaya ya bagamoyo Ndugu Ridhwan Jakaya Kikwete alikuwa ni mgeni rasmi katika tukio hilo lililoratibiwa na katibu wa wilaya (mkoa maalum wa vyuo vikuu) ndugu Ally Salum Hapi.
wasomi hao kutoka vyuo mbalimbali kanda ya mashariki mkoa wa pwani na dar es salaam wamechukua uamuz huo baada ya kukiri kuwa chama cha siasa kilicho na misingi ya haki na uadilifu ni CCM pekee.
baada ya tukio hilo wasomi hao wameahidi kuwa wajumbe wa Chama katika vyuo vyao kuwafikishia ujumbe wanafunzi wenzao ambao bado hawajafanya uamuz huo makini. Wamesema wanafunzi wengi kwa kutopata ujumbe na taarifa sahihi kuhusu CCM wamejikuta wakifanya makosa kwa kujiunga na vyama vingine vya siasa ambavyo havina mwelekeo wa kimaendeleo wala misingi ya uadilifu.
Hahahahh. Kweli kabisa. Akija Mbatia wanarejesha kadi za CCM na kuchukua za NCCR, hali kadhalika akija Mbowe wanarejesha za NCCR na kuchukua za Chadema. Yani ni sanaa kwa kwenda mbelendiyo siasa ilivyo, kesho usishangae kuwaona watu hao hao unaowaita wasomi wakitambulishwa kwenye jukwaa la nccr,chadema au cuf,hivi usomi ni kitu gani hasa?miongoni mwao utawakuta pia wanafunzi wa kitila mkumbo,marehemu mvungi au prof Baregu,ambao ni wapinzani,Damn it.
Sidhani kama kuna "msomi" ambaye ziko timamu upstairs anaweza kujiunga na hiki chama. Kama ni kweli ni "wasomi", lazima walipata division five! au walisupp, wakacarry then wakadisco. Na bado wanajiita "wasomi"!
umekosea kidogo, sema wasomi wahuni 300 wajiunga na CCM .....
wachumiatumbo? wewe mwehu nini? chadema juzi hapa mumewakosesha usingizi kwa mapokezi ya mwehu mwezenu yule afade wakumba leo wajaja wanaeda kwa wajaja.wasomi wezao. wamekuwa wachumia tumbo chukueni hao maafade wakachumie matumbo yaakina.mbowe.sllaa.lema.josephina. Siyo wewe.wewe ningoma tu.ikimaliza kupigwa inaanikwa juani inaaza kuchomwa jua tena bila malipo yoyote.

Kwenye red hapo......Mmmmmmmh!!!!Chama Cha Mapinduzi kimeendelea kujiimarisha na kujiongezea nguvu baada ya kuwashawishi wasomi 300 kanda ya mashariki kujiunga na chama hicho na kupokelewa kwa hadhi kubwa katika event iliyofanyika bagamoyo jana ambapo mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM wilaya ya bagamoyo Ndugu Ridhwan Jakaya Kikwete alikuwa ni mgeni rasmi katika tukio hilo lililoratibiwa na katibu wa wilaya (mkoa maalum wa vyuo vikuu) ndugu Ally Salum Hapi.
wasomi hao kutoka vyuo mbalimbali kanda ya mashariki mkoa wa pwani na dar es salaam wamechukua uamuz huo baada ya kukiri kuwa chama cha siasa kilicho na misingi ya haki na uadilifu ni CCM pekee.
baada ya tukio hilo wasomi hao wameahidi kuwa wajumbe wa Chama katika vyuo vyao kuwafikishia ujumbe wanafunzi wenzao ambao bado hawajafanya uamuz huo makini. Wamesema wanafunzi wengi kwa kutopata ujumbe na taarifa sahihi kuhusu CCM wamejikuta wakifanya makosa kwa kujiunga na vyama vingine vya siasa ambavyo havina mwelekeo wa kimaendeleo wala misingi ya uadilifu.
Ulizia kwanza nini motivation ya hao jamaa kukiunga CCM? jibu ni moja tu kuwa wanatafuta fedha kwani CCM hawajatambua kuwa wanafunzi hao wanapenda offa za mshiko ikiwemo kukodishiwa mabas na kwenda kutalii dodoma. Mara baada ya shule wengi wao huachana nayo.wachumiatumbo? wewe mwehu nini? chadema juzi hapa mumewakosesha usingizi kwa mapokezi ya mwehu mwezenu yule afade wakumba leo wajaja wanaeda kwa wajaja.wasomi wezao. wamekuwa wachumia tumbo chukueni hao maafade wakachumie matumbo yaakina.mbowe.sllaa.lema.josephina. Siyo wewe.wewe ningoma tu.ikimaliza kupigwa inaanikwa juani inaaza kuchomwa jua tena bila malipo yoyote.