Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,051
Sidhani kama kuna "msomi" ambaye ziko timamu upstairs anaweza kujiunga na hiki chama. Kama ni kweli ni "wasomi", lazima walipata division five! au walisupp, wakacarry then wakadisco. Na bado wanajiita "wasomi"!
Mkuu hili neno nahisi linatumika vibaya. Hivi wa JF nini maana neno msomi? Ili mtu aitwe msomi , anatakiwa kukudhi vigezo gani?