Wasomi 300 wajiunga na CCM

Wasomi 300 wajiunga na CCM

Naomba ukasome miiko ya uongozi na miiko 10 ya mwanachama.
lakini labda sijakuelewa,waliojiunga ccm ni washomi?
 
wachumiatumbo? wewe mwehu nini? chadema juzi hapa mumewakosesha usingizi kwa mapokezi ya mwehu mwezenu yule afade wakumba leo wajaja wanaeda kwa wajaja.wasomi wezao. wamekuwa wachumia tumbo chukueni hao maafade wakachumie matumbo yaakina.mbowe.sllaa.lema.josephina. Siyo wewe.wewe ningoma tu.ikimaliza kupigwa inaanikwa juani inaaza kuchomwa jua tena bila malipo yoyote.

bora aanze kutumia hizo fedha manake Ridhiwani na babake novemba 2016 kesi zitakuwa zimeisha dhidi yao na watakuwa wanachekea segerea watu wanatembea na mafaili yao picha yenyewe umepiga miguu, mastadi wa uongo kuweka figure tu marehemu wa kisiasa nyie
 
wasomi wa fani gani? Kwa 7bu hata siku hizi kuna wasomi wa MAJUNGU.
 
Wasomi kama akina Chenge, Karamagi, Rutabanzibwa, Ngeleja, Rostam, Maige, Nyalandu, prof Muhongo, BWM, Yona, Mramba, Jairo, Shimbo, Kapuya, Dr Kafumu, Mungai, Ikelege, Mboma, Apson, Membe, Magufuli, Blandina, Jitu, Manji, Somaiya, Sitta, Dr Ndalichako, Luhanjo et al wameisaidia vipi nchi zaidi ya kufisadi mali za watanzania?
 
Inategemea unaposema wasomi unamaanisha nini..manake majuzi tu hapa kulikua na mkutano fulani na nikabahatika kusikiza presentations za baadhi ya wasomi hawa wa tz, nilichokishuhudia niliishia kuficha name-tag yangu ili nisionekane natokea tz, manake ingawa sikua muwasilishaji nilijiskia aibu sana kua mtz na kua mahali pale.
 
Chama Cha Mapinduzi kimeendelea kujiimarisha na kujiongezea nguvu baada ya kuwashawishi wasomi 300 kanda ya mashariki kujiunga na chama hicho na kupokelewa kwa hadhi kubwa katika event iliyofanyika bagamoyo jana ambapo mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM wilaya ya bagamoyo Ndugu Ridhwan Jakaya Kikwete alikuwa ni mgeni rasmi katika tukio hilo lililoratibiwa na katibu wa wilaya (mkoa maalum wa vyuo vikuu) ndugu Ally Salum Hapi.

wasomi hao kutoka vyuo mbalimbali kanda ya mashariki mkoa wa pwani na dar es salaam wamechukua uamuz huo baada ya kukiri kuwa chama cha siasa kilicho na misingi ya haki na uadilifu ni CCM pekee.

baada ya tukio hilo wasomi hao wameahidi kuwa wajumbe wa Chama katika vyuo vyao kuwafikishia ujumbe wanafunzi wenzao ambao bado hawajafanya uamuz huo makini. Wamesema wanafunzi wengi kwa kutopata ujumbe na taarifa sahihi kuhusu CCM wamejikuta wakifanya makosa kwa kujiunga na vyama vingine vya siasa ambavyo havina mwelekeo wa kimaendeleo wala misingi ya uadilifu.

uadilifu maana yake inaeleweka kweli?hebu kamuulizeni kapuya prof wa kiswahili aka mzee wa chini ya 18
 
Chama Cha Mapinduzi kimeendelea kujiimarisha na kujiongezea nguvu baada ya kuwashawishi wasomi 300 kanda ya mashariki kujiunga na chama hicho na kupokelewa kwa hadhi kubwa katika event iliyofanyika bagamoyo jana ambapo mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM wilaya ya bagamoyo Ndugu Ridhwan Jakaya Kikwete alikuwa ni mgeni rasmi katika tukio hilo lililoratibiwa na katibu wa wilaya (mkoa maalum wa vyuo vikuu) ndugu Ally Salum Hapi.

wasomi hao kutoka vyuo mbalimbali kanda ya mashariki mkoa wa pwani na dar es salaam wamechukua uamuz huo baada ya kukiri kuwa chama cha siasa kilicho na misingi ya haki na uadilifu ni CCM pekee.

baada ya tukio hilo wasomi hao wameahidi kuwa wajumbe wa Chama katika vyuo vyao kuwafikishia ujumbe wanafunzi wenzao ambao bado hawajafanya uamuz huo makini. Wamesema wanafunzi wengi kwa kutopata ujumbe na taarifa sahihi kuhusu CCM wamejikuta wakifanya makosa kwa kujiunga na vyama vingine vya siasa ambavyo havina mwelekeo wa kimaendeleo wala misingi ya uadilifu.

Kula kwa CCM lakini KURA kwa Chadema
 
Ukoloni mambo Leo maana Baba Mwenyekiti wa CCM na Mama Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Mtoto pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu bado Mjukuu
 
Acha Sanaa hasa Hawa ni wasomi Nini? Usomi Sio kuwa chuo kikuu. Usomi ni uwezo wa kujitambua kuwa upo Huru au umefungwa na kuchukua hatua stahiki. Hao km hawafiti ktk hili ni vilaza tu
 
Chama Cha Mapinduzi kimeendelea kujiimarisha na kujiongezea nguvu baada ya kuwashawishi wasomi 300 kanda ya mashariki kujiunga na chama hicho na kupokelewa kwa hadhi kubwa katika event iliyofanyika bagamoyo jana ambapo mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM wilaya ya bagamoyo Ndugu Ridhwan Jakaya Kikwete alikuwa ni mgeni rasmi katika tukio hilo lililoratibiwa na katibu wa wilaya (mkoa maalum wa vyuo vikuu) ndugu Ally Salum Hapi.

wasomi hao kutoka vyuo mbalimbali kanda ya mashariki mkoa wa pwani na dar es salaam wamechukua uamuz huo baada ya kukiri kuwa chama cha siasa kilicho na misingi ya haki na uadilifu ni CCM pekee.

baada ya tukio hilo wasomi hao wameahidi kuwa wajumbe wa Chama katika vyuo vyao kuwafikishia ujumbe wanafunzi wenzao ambao bado hawajafanya uamuz huo makini. Wamesema wanafunzi wengi kwa kutopata ujumbe na taarifa sahihi kuhusu CCM wamejikuta wakifanya makosa kwa kujiunga na vyama vingine vya siasa ambavyo havina mwelekeo wa kimaendeleo wala misingi ya uadilifu.

mbona wengi wao wamevalia t shirt ukumbuni na wengine wanamabegi ya nguo za kubadilisha baada ya hapo""? Hawajiamini,,, watokenazo tu hizo yeboyebo
 
Wasomi wa tanzania toa hao 300 jibu utakalopata ndo wasomi waliopo chadema.
 
Kuna mtua aliwahi kuniambia, na mnukuu "ukiona mtu hadi sasa hajajua udhaifu na ngonjera za chama tawala toka Uhuru to date. Ujue mtu huyo ana mental problem na kimsingi anatakiwa milembe kwa uchunguzi"
Awali nilifikria nimtazamo tu wa mtu but now i see reality of many who still suffering from that mental problem regardless of their level of education attained.
 
Back
Top Bottom