ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 4,612
- 14,182
Dah umenikumbusha mbali sanaaa hahahaaaa
Akifufuka mtu alie fariki mwanzoni mwa 1980 atakufa tena maana ataona dunia sio sehemu salama ya kuishi kila nyumba ina grill atauliza simba wanafika mpaka mjini jibu atakalopewa basi mauti yata mfika tena
Hii ni alarm, mwizi hapo lazima alarm ipige!Unamanisha nn mkuu
Wakati nasoma hii kitu, nikasikia kishindo kama kopo linaanguka na mimi nipo pekee nyumbani, Mshana nilikimbilia kujificha niliporudi naona paka mweupe yupo anatikisa makopo yangu ya maua. Ikoje hii mdogo wangu. Wakuchant kaenda kwenye dhifa ya ...
kaenda dhifa kubwa? huyo ni mgeni rafiki kaja kukupa kampaniAkifufuka mtu alie fariki mwanzoni mwa 1980 atakufa tena maana ataona dunia sio sehemu salama ya kuishi kila nyumba ina grill atauliza simba wanafika mpaka mjini jibu atakalopewa basi mauti yata mfika tena

ndiyo na kamama ketu kale. Kama atachukua ukodac nitakutumia ila namjua hawezi.![]()
![]()
kaenda dhifa kubwa? huyo ni mgeni rafiki kaja kukupa kampani
Hivi vikawe ni dar au kibaha nisaidie nataka hamia huko
ikizidi inakuwa robo kufikiri
kaka mshana watu kama nyie huwa nawaita cartoon. yaani wacheshi. nimecheka sana.
Mshanaaaa back into 80's enzi za jiwe Fatuma. Nakumbuka hio tekinolojia nyumbani. Hata panya akipita ni taharuki nyumba nzima. Pesa mzee alikuwa anachimbia ndani.Enzi za kukamatwa wahujumu uchumi. Nchi hii , nyie acheni tu......
Zamani ilikuwa usiku ukiona kwa mbali dalili ya mtu basi unashukuru mungu kuwa unakutana na binadamu ila hivi sasa ukiona dalili ya mtu basi la kwanza unachukua upande kama yeye anakuja kulia kwa barabara weye unakaba kushoto ila cha ajabu mkiisha pishana yeye anatoka mkuku uelekeo wake nawe unafunguka kule unakoelekea yaani kama mmeambizana vile kumbe kila mmoja alikuwa anamukhofia mwenzie.
Hahhahaa ilishawahi kunitokea hiiZ