wakuu..
sometimes i fail to understand sisi members wa JF, it seems we only want to hear what we want to hear!!! its not right at all... hatuna haja ya kulaumu wasirra kwani ameongea anachotaka yeye, na kwa upeo na utashi wake
Hamna haja ya yeye kuwataka watanzania wamsamehe, hivi ni mara ngapi wagombea wa chadema wamesema fulani wa ccm au wa cuf arudi kujifunza?? IT IS POLITICS AND THATS IT, TUACHE HIZO
Now i have another even bigger problem, alichosema wasira kina ukweli ila ametumia kugha ndefu sana kuongea, CHADEMA is a very good party na kina watu wazuri sana, mfano kwenye sera kitila na wenzake could do, kwenye sheria na utawala bora wapo akina marando, slaa, lisu, nk... je kwenye uchumi yupo nani??
Na swali la msingi sana hapa ni je do we have strategies and approached clearly presented on chademas manifesto?? kama yes basi its ok
WASIRA HANA HAJA YA KUOMBA MSAMAHA MTU YOYOTE, AMEONGEA KAMA MWANASIASA NA NDIVYO TULIVYOAMUA WATANZANIA KUISHI