pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 17,660
- 13,719
Kukosa akili ni ugonjwa mbaya sana kuliko magonjwa yote duniani.Mbona unaweweseka nani amekuuliza?
Kukosa akili ni ugonjwa mbaya sana kuliko magonjwa yote duniani.Mbona unaweweseka nani amekuuliza?
Mstaafu JK alikuwa anadondosha mondo kwa kuchekacheka hivi lkn zenye ujumbe mzigo sana. Ongezea na ile ya 'CCM ina wenyewe'
Kukosa akili ni ugonjwa mbaya sana kuliko magonjwa yote duniani.
Korona hapa nchini,tushamaliza,,Kipimo halisi ni tabia ya corona ambayo speed ya kuambukiza kwa 14 day.
Kama mashule yamefunguliwa zaidi ya 21 days na hakuna outbreak kwenye mirundikano , basi corona imefifia na iko njiani kupotea.
Wanachuo walianza kufuka chuoni , vyuo vinadunda hadi sasaKorona hapa nchini,tushamaliza,,
Ila ujue watoto kuanzia one years hadi 15 ngumu kupata corona,na akipata mwili wako unarespond tofauti na mtu wa miaka 45 kwenda juu.
Wazungu mkuu sio watu wazuri wakati mwingine ingawa wanatupati hizi dawa za kutibua naniliiiiiNa akitoboa hadi October 28 nami nitaamini imeisha