Wasioujua ukweli kuhusu Corona Tanzania

Kipimo halisi ni tabia ya corona ambayo speed ya kuambukiza kwa 14 day.
Kama mashule yamefunguliwa zaidi ya 21 days na hakuna outbreak kwenye mirundikano , basi corona imefifia na iko njiani kupotea.
Korona hapa nchini,tushamaliza,,
Ila ujue watoto kuanzia one years hadi 15 ngumu kupata corona,na akipata mwili wako unarespond tofauti na mtu wa miaka 45 kwenda juu.
 
Mzigo bado upo sana. Hauwezi kukosa kuwepo wakati majirani zetu kila siku wanatangaza ongezeko na vifo vya hiyo pia. Lazima kujua tunakutana pia na hao majirani wanaendelea kutangaza kifo cha hiyo kitu
 
Korona hapa nchini,tushamaliza,,
Ila ujue watoto kuanzia one years hadi 15 ngumu kupata corona,na akipata mwili wako unarespond tofauti na mtu wa miaka 45 kwenda juu.
Wanachuo walianza kufuka chuoni , vyuo vinadunda hadi sasa
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom